Wanajeshi wetu wengi wa siku hizi nao wanapenda kukaa maofisini.. jk nae ni mzee wa tabasam. tukizubaa tutanyang'anywa sehem yetu ya ziwa tunaona hvhv na hilo likifanikiwa litakua limedhihirisha udhaifu wetu kwa hiyo kutakua na possibility ya wengine kuja kumega eneo jingine tena na mwishowe...
hii ya kua tunaleanaleana na kufumbiana macho ndiyo imetufikisha hapa, wenzetu km rwanda wanazidi kusonga mbele. nidham katika kila jambo ni kitu cha msingi sana. ni vigumu sana kusema tuko pamoja ktk kila jambo wakai mwenzako an yake. huu ni uamuzi sahihi kabisa ili kwamba hata mwingine afanye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.