Recent content by MDOE jr

  1. M

    JamiiForums Tanzania Cheti cha kumaliza kidato cha nne. miaka 11 iliopita. nakifata wapi?

    me kuna jamaa nlisoma nae alichelewa miaka miwili tu kwenda shule hajakikuta.....akakifuata necta
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Magufuli majipu Board ya mikopo huyaoni?

    kwa kifup bodi wametuchonganisha sana na wazaz,yani siku hizi hawatuamini kabisa........kwanza ni tushinikize yule jamii atengue kauli yake au aitolee ufafanuz wa kina katka vyombo vya habar,pili naamin rais wetu huwa anaangalia taarifa ya habar,siku moja tu organize na waandish wa habar tutoe...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mimi mwalimu,Mafanikio niliyoyapa mwaka 2014 na ya 2015 na matarajio yangu 2016

    kwa wastan wa gharama ya hyo nyumba kila mwez amejiwekea sh 869,697 mbali ya fedha za chakula na mavaz na malaz kwa sasa,hebu weka vyanzo vyako vya mapato mbali na mdhahara wa ualimu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mikopo kwa wanaoendelea

    halafu cjui kuna ucri gan huko bod.....hata celewi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mikopo kwa wanaoendelea

    hongera ndugu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mikopo kwa wanaoendelea

    inshallah.....ngoja tuvute subra
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mikopo kwa wanaoendelea

    da....hyo course yako ni priority?maana sisi ambao coz zetu sio vpaumbele tumeshakata tamaa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wasiopata mikopo tafadhali angalieni akaunti zenu, wameshawaingizia

    me nipo chuo cha kodi mwaka wa pili ni muhanga wa mkopo mwaka jana,mwaka huu pia nimeomba lakin kimya mpaka sasa sijui ndo wameshatuchinjia baharin............?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mikopo kwa wanaoendelea

    Habari, Hivi kuna mtu yeyote mwenye taarifa juu ya mikopo kwa wanafunzi wanaoendelea? Na kuna chuo chochote waliopata mkopo? Mwenye taarifa atujuze wanajamii.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo real change, ya Obama Slogan TU!

    hebu muwe mnaangalia uhalisia mseongee takwimu mnazopewa....tupo tulioomba mkopo hatujapata mpaka leo halaf mnasema wote wamepata
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada ku appeal mkopo

    kwa uzoef wangu huwa waliopata hata boom hawaruhusiwi ku appeal,ila pole xna ndgu,najua kabsa umeshukuru sana kupata hata hiyo 0% ila kutokana na hali ya maisha imekulazima kufkiria kuappeal,hebu fkiria plan C
  12. M

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo kuhusu Continuing Stedents na First year ambao hawakupata mkopo.

    wanazngua tu hawa jamaa.......,yan wanatoa sentens tata ili tukose cha kujitetea
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nini hatma ya wanafunzi wa st. Joseph-arusha

    yan wamewapotezea muda xna wenzetu mpaka sasa hawana matumain ya kurud shule
  14. M

    JamiiForums Tanzania mkopo kwa mwaka wa pili

    jamani kwa wale mwaka wa pili na watatu ndo tumechinjiwa baharini au zamu yetu bado.......?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa chuo walioomba mkopo wote wamepata?

    kwa freshers au contnrs
Back
Top Bottom