Recent content by Mdenya blood

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa HESLB kutoa lot ya nne au ndo mwisho?

    Mkuu msaada S0795.0093.2009
  2. M

    JamiiForums Tanzania HESLB watoa awamu ya tatu ya mikopo 2015/16

    Msaada mkuu S0795/0093/2009
  3. M

    JamiiForums Tanzania HESLB watoa awamu ya pili wanafunzi waliopata mkopo 2015/16

    Nmefauli vzuri..nmefuata masharti yoote ya kupata mkopo..nmechagua course ambayo ni priority.. Nmechagua chuo cha kumbu kumbu ya mwalimu nyerere,chuo hiki huwa kinaangaliwa kwa macho yoote wengi wanao soma hapo huwa wanabatka kupata mkopo. Sasa mwaka huu sijui imekuaje yaani plan A B C zote...
  4. M

    JamiiForums Tanzania HESLB watoa awamu ya pili wanafunzi waliopata mkopo 2015/16

    Mkuu tupo pamoja 0715742736
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msadaa chuo cha kumbu kumbu ya mwalimu nyerere kigamboni

    Msaada tafadhali kama kuna mwenye namba za rais wa chuo hcho tajwa hapo juu au za loan officer wa chuo hcho tajwa
  6. M

    JamiiForums Tanzania HESLB watoa awamu ya pili wanafunzi waliopata mkopo 2015/16

    Wakuu nmemaliza form six 2012 mwaka huu nmeomba chuo na nmepata chuo cha kumbukumbu ya mwalimu nyerere...Pia niliomba Education lengo likiwa ni upate mkopo lakn nmetoka kapa round zote.. Je ndo imetoka au kuna awamu nyngne tena
  7. M

    JamiiForums Tanzania HESLB watoa awamu ya pili wanafunzi waliopata mkopo 2015/16

    Ina maana mkopo wametoa kwa wanafunzi walio maliza form six mwaka jana tuu au ndo nn..Mm nme maliza form six 2012 na nmechagua course ambayo ni priority na bado sijapata kitu kweli Heslb wana watu wao
  8. M

    JamiiForums Tanzania Duce na tumaini dar vp???

    Mkuu vp mwalimu nyerere memorial academy
  9. M

    JamiiForums Tanzania Duce na tumaini dar vp???

    Mkuu VP mwalimu nyerere memorial academy
  10. M

    JamiiForums Tanzania TIA, IAA, MZUMBE moro na CBE dar

    Mkuu mwalimu nyerere memoria academy nao watatoa majina ln?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada chuo cha mwalimu nyerere memorial academy campus ya DSM na Ardhi university.

    Mkuu kwa hyo kesho ndo uhakika sio maana wadogo zetu wamejawa na hofu hasa wale walioomba kwa Mara ya pl. Shukrani kwa taarifa mkuu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada chuo cha mwalimu nyerere memorial academy campus ya DSM na Ardhi university.

    Za muda huu wanajamvi ni lini chuo cha mwalimu nyerere memorial academy kita toa majina post undergraduate 2015/16.Kwani vyuo vng vmesha toa majina lakini wao bado. Wanawapa wadogo zetu wakati mgumu sana p
Back
Top Bottom