Hiyo si ni enzi hizo mkuu!
wanafunzi wenyewe hamkuwa wengi kama sasa,sahivi huko hall six ni kama hall 2 au 5 tuu,hall 6 ya sahivi vitanda 3,na mkibebana ni watu sita kwa room,na hauwezi kulala pekee yako afu kuna mwenzio anahangaika sehemu ya kuweka ubavu labda uwe na moyo mgumu sana.