Recent content by mdede6

  1. M

    JamiiForums Tanzania Vita ya wachawi na washirikina imenishinda uswahilini. Nahama nauza vitu vyangu vya ndani

    Watu wa kusini sio watu wana wivu vinyongo na wanaokushauri kua hakuna uchawi hayajawakuta watu jamii forum wengi kdg wamefuta angalau vijitongotongo hivyo basi kila mtu anajiona mzungu hawaamin ushirkna we fanya kwa maamuzi yk mwenyewe umu utoambulia kitu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Intaneti imezidi kupanda Bei

    Mh napita tu Sasa hapa tunaweka mchanga wa hoja au tunaweka masiahara
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe anayehitaji kutibiwa na Serikali Tanzania nzima ni Profesa Jay tu na wengine wajitibie wenyewe?

    Jamaa alichokiandika ni sahihi kabisa sema cc wa tz ni wavivu wa kutafakari hivyo ni ngumu Sana kuweza kuelewa alichokiandika Jamaa sema wengi wanamihemuko mingi na bendela fuata upepo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Anayefanya kazi Maktaba ya Muziki TBC 1 achunguzwe

    Kwani ulikua ujui mtu akishazeeka akiri inaludi utoto au uwezo wa kifkr kunapungua?????
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kutimuliwa kwa wamachinga uchumi utapaa sana, hongera Rais Samia kwa kutumia akili

    Tatzo unaangaria watu wachache ndio tatzo
  6. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa Mtangazaji wa RFA, Juma Ahmed Baragaza afariki Dunia

    Unautaalam gani wa kuwatambua watu wanaotumia vidonge????
  7. M

    JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo aeleza sababu ya kuachana na Irina Shayk

    Upo sahihi kristian lonado
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Jiandaeni kupokea ugeni

    Inafulaisha
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mimi binafsi Sina furaha na maisha yangu very dissappointed

    du mkuu umeongea madini mazto sana ni poents juu ya poents mm niliwai kufanya hayo makosa yalinigalimu sana had leo naongea nmeamua kubaki pekeangu kwanza ili niitafte furaha ya kweli nikiwa mm kama mm
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa huu ni mkoa gani

    Kigoma iyo
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa huu ni mkoa gani

    kigoma hapo
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hofu ya Mgonjwa wa CoronaVirus: Aga Khan wanaeleza kweli au tutarajie nini?

    Duu asee Mungu tusaidie
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ndoto Gani Iliyokutatiza (Sio Lazima Iwe Inatisha) Uliwahi Kuipata?

    Mh mi jana nmeota kuna m2 kaja kaingia ndan kajfunika shuka ckumbuk lang gan kasmama pembeni ya ktanda akaanza kunpulza upepo mkali sanau unapuliza kama feni hv nmepga kelele kwa muda mlefu nilpokuja kush2ka du pumz ipo juu had naogopa hata kulala
Back
Top Bottom