Recent content by mdau_mimi

  1. mdau_mimi

    Naomba mwenye dondoo za kuanzia za M Power Academy

    Nashukuru sana mkuu Tang'ana.... Unaweza kunisaidia pia kuwa wanapokua wanaita watu kwenye training kama hivi mnaweza kuitwa wangapi kwa ajili ya training??
  2. mdau_mimi

    Naomba mwenye dondoo za kuanzia za M Power Academy

    Habari za asubuhi ndugu wanajamvi? Nimepata offer yauitwa kwenye Academy ya hawa jamaa wa M Power(Arusha). Naomba mwenye dondoo za kuanzia za hawa jamaa anijuze. Mathalani, muda halisi wa training zao, rate za kuajiri kwa wanaomaliza vyeama kwenye hiyo academy, na Mengineyo kama yapo. Nawasilisha
  3. mdau_mimi

    Mshahara wa Project Officer VSO International

    Nashukuru #aloycious kwa ushauri.... ila huwa ni vyema kuwa na taarifa angalizi mkononi...
  4. mdau_mimi

    Mshahara wa Project Officer VSO International

    Habarini za Mida hii ndugu wanajamvi? Mimi ni mgeni katika jukwaa hili... Samahani sana ndugu zangu kwa kupost mada hii wakati huu, bila shaka wengi wetu watakuwa waejipumzisha tayari. Ninaomba kusaidiwa na wanaoifahamu vyema hii NGO ya VSO, ya kwamba wanalipa mshahara kiasi gani kwa ngazi...
Back
Top Bottom