Baraza jipya la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru lipo Mkoani Katavi kwa siku tano kujifunza kuhusu hewa ukaa.
Madiwani wote zaidi ya 60 na wakuu wa idara watakuwa nje ya halmashauri kwa zaidi ya wiki moja kwaajili ya safari hiyo.
Tsh Milioni 1.8 italipwa kwa kila diwani katika...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya
Amesimamia baada ya kusikia kilio cha wadau na mkuu wa shule amerejeshwa katika nafasi yake
Kwasababu ni ubuni tu ulitumika
Edited mkuu
Ipo Tunduru mkoa wa Ruvuma
Sakata ni kwamba viongozi wa eneo hilo wamekuwa na kasumba ya kutoa kiholela wakuu wa shule pindi wanapo ona masirahi yao binafsi yanaingiliwa, Kuna mradi wa upanuzi wa shule unatarajiwa kuanza kwaiyo wao wanasafisha njia mapema, lakini pia hiyo kadhia...
Hapana
Bali kuna posho inaongezeka 😂😂😂
Tatizo sio mshahara bali kasumba ambazo viongozi wa eneo hilo wanayo kwa muda mfupi wanabadilisha wakuu washule
Inaonekana wanatafuta yule ambaye atasapoti upigaji wao
Mkuu wa Shule ya Msingi Nakayaya iliyopo TUNDURU MKOA WA RUVUMA asimamishwa kuwa Mkuu wa shule hiyo bila sababu yoyote ya Msingi.
Inaelezwa kuwa migogoro binafsi baina yake na Mwenyekiti wa kijiji ( Bakari Mpwapwa) na Mratibu Elimu Kata ndio kiini cha Maamuzi hayo.
Hatua hiyo Inaelezwa kuwa ya...
Tunduru ni moja ya wilaya ambayo inapatikana katika mkoa wa Ruvuma kusini mwa Tanzania, asili ya wakazi wa Tunduru ni Wayao ambao wanasadikika wanatokea Msumbuji, katikati ya miaka ya 80 kulikuwa na mzee mmoja ambaye alikuwa anafahamika Mzee ACHIMBALI, Mzee huyo alikua anaishi katika kijiji cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.