Recent content by Mdadamwema.

  1. Mdadamwema.

    JamiiForums Tanzania Maumivu makali ya masikio

    Hongera kwa kupona Mkuu, nawewe ulikuwa unasikia kichwa kinauma na kizunguzung?
  2. Mdadamwema.

    JamiiForums Tanzania Maumivu makali ya masikio

    Asante Mkuu, pakupata ndo Shida
  3. Mdadamwema.

    JamiiForums Tanzania Maumivu makali ya masikio

    Shukrani Mkuu
  4. Mdadamwema.

    JamiiForums Tanzania Maumivu makali ya masikio

    Asante Mkuu kwa ushauri wako🙏
  5. Mdadamwema.

    JamiiForums Tanzania Maumivu makali ya masikio

    Wakuu pitieni hapa tadadhali
  6. Mdadamwema.

    JamiiForums Tanzania Maumivu makali ya masikio

    Salaam wakuu, Mimi nasumbuliwa na masikio yote mawili yanauma sana kama vile mtu anasukumiza matambara huko ndani, yakianza kuuma hivyo nasikia na kichwa kinaniuma na ninahisi kizunguzungu kwa mbali. Nilienda hospitalini Dr akasema Sina maambukizi ya sikio wala Sina uvimbe ndani ya sikio...
  7. Mdadamwema.

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania True story: Ana mahusiano ya kimapenzi na mtoto wa rafiki yake

    Mmmh, hii ngumu kumeza
  8. Mdadamwema.

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

    Sanaa tu, viva Railaaaaaa
  9. Mdadamwema.

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

    Jamani au yawezekana anaumwa mzee wa watu, ingawa hatuombei iwe hivyo
  10. Mdadamwema.

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

    Tayari wametangaza??
Back
Top Bottom