Wewe ni mzandiki na cruseder! Una chuki na uislamu hata sehemu isipotakiwa kujadiliwa uislamu unaingiza uislamu!!! Iran imeikosea nini tanzania? Una ushahidi? Au unalipuka kama ushuzi wa maharage? Inaonekana huna elimu na uko sawa na form four waliomaliza!
Naaam usimtukane mpumbavu asije kukutukania mungu wako,kuuawa kwa huyo padri hakuna mwenye jibu hata mmoja kwa sasa,na hata kama kauawa na muislamu sio justification ya kuwatukana waislamu na mungu wao!,huko ni kuonyesha elimu ndogo uliyonayo kichwani,sifurahii mtu yoyote kuuliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.