Suala linaloiathir mambo ya ajira ni issue ya pesa kutoka hazna kuu, xasa mie najiuliza kuwa nn maana ya bajet, mbona wizara zingine inaposomwa bajet na kupitishwa matumiz yanaanza mara moja. Au fungu la ajira limekopeshwa..!
Mi nadhan serikal ifike mahara sasa ianze kufanya ukakuzi ktk kila wizara, yaan iwepo tume itakayokuwa inafanya uchunguz na kubaini mazaifu yaliyoko ktk kila wizara hapa nchini, suala sio wizara ya elimu ni watu fulan fulan tu ambao wanataka kujinufaisha wao na kusahau kuwa kuna umma ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.