anayoyaandika Yericko kuibagaza CHADEMA ndivyo alivyokuwa akifanya akiwa CHADEMA kubagaza vyama vingine na viongozi wao na mkamshangilia.. Yericko ni yule yule amehama nyumba tu
wahuni hawa yaani unasema kuna maadui tokanchi jirani wanapanga kuingizia vikosi kukinukisha hyo tar 9 haafu hapo unatoa ushauri ili hayo yasitokee inabidi kusiwe na maridhiano ambayo wanataka kuyafanya,inatakiwa Rais ajiuzulu mara inatakiwa na uchaguzi urudiwe hapo ndo itakuwa na utulivu hap...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.