Recent content by mcmuddy

  1. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yetu na danganya toto

    Nchi yetu duniani inahesabiwa na kuchukuliwa kama kati ya nchi masikini duniani, ni ukweli usiopingika lakini mpaka sasa hivi serikali yetu imechukua hatua gani kutikomboa na umaskini huu? Nchi ni maskini, sasa kuna ulazima wa maslahi ya nchi kutumika kulipa viongozi wa serikali hela nyingi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa waliokosa mkopo

    tuliokosa mkopo ina maana hadi hela ya kujikimu hatupewi au ni vipi?:A S-confused1:
  3. M

    JamiiForums Tanzania Waliopata mikopo HESLB 2014/15

    na ule mkwanja wa kujikimu?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Waliopata mikopo HESLB 2014/15

    na ule mkwanja wa kujikimu?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Waliopata mikopo HESLB 2014/15

    na boom ndo inakuwa vipi? tuliokosa mikopo ndo hatupati na boom au ilo swala jingine?:embarrassed:
Back
Top Bottom