Nimejiuliza Sana! Hivi CCM mna agenda gani (Kufa au Kuishi, Kuzirai au kuzimia). Arusha mjini ni nani atasimama mbele ya MAKAMANDA na Nguvu Ya Uma! Je, Mkapa (Atasema hamtambui baba yake Mbowe, baada ya kushindwa jaribio la kutomtambua Vicent), Wasira (Atasema Slaa hajawahi kuwa Padri baada ya...