Recent content by mchuuzi wakileo

  1. M

    Msaada wa watumiaji wa iPhone

    Ukilipa hiyo 7K bado pia hiyo app unatumia bando wakat wa kuplay hizo nyimbo? Naweza kupata app ambayo nitafownload nyimbo ndani ya app halafu napotaka kuskliza niwe naweza kuskiliza hata Kama Sina bando?
  2. M

    Msaada wa watumiaji wa iPhone

    Mnaotumia iPhones mnafanyaje kudownload nyimbo bila kuzinunua na ku save kwenye sim zenu na kusikiliza muda wowote pale mnapojiskia? Kama inavyofahamika kwamba iPhone vitu vingi huwezi download bila kununua. Naomba msaada
  3. M

    Walimu wa shule za msingi mna shida gani?

    Lakini hawa walimu si huwa wanapwa vyeti vya kuzaliwa vya hawa watoto kipindi cha usajili? Kwanini walimu hawa andiki kilichoandikwa kwenye cheti cha kuzaliwa? Wana andika wanavyojua wao. Inaleta usumbufu mkubwa sana mbeleni
  4. M

    Walimu wa shule za msingi mna shida gani?

    Walimu wa shule ya msingi tulizeni vichwa mnapokuwa mnafanya usajili wa watoto kwenye mifumo ya serikali. Wakati wa usajili mathalan Darasa la kwanza au darasa la nne huwa mnatuagiza tulete vyeti vya kuzaliwa vya watoto ili kuepusha mpishano wa majina au herefu kwani mtoto anaposajiliwa darasa...
Back
Top Bottom