Recent content by mchupaMD

  1. M

    JamiiForums Tanzania Madaraja ya waalimu yapandishwa kufuata upepo wa siasa

    Chamsingi tujue waliopandishwa madaraja mwaka huu ni wale walioanza kazi mwaka gani?
  2. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    we mauzo(chriss)unafuata nn huko pwan?kama hawajamaa wamekuzidi kete rudi mboka.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua bei

    Habari za leo wanajamvi?naomba mwenye kujua bei ya mashine ya kufyatulia matofali ya block na aina zake.nisaidieni tafadhali
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa

    habari zenu wana jamvi.nahitaji kununua mashine ya kufyatulia matofali ya block.sadq nahitaji kujua bei zake na aina zake.mwenye ufahamu na hili tafadhali nijuze.
  5. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    duu babkubwa !ebana vp moshi manispaa panakufaa
  6. M

    JamiiForums Tanzania mwalimu wa kubadilishana!

    wandugu mimi ni mwl idara ya sekondari,nahitaji mwl anayehitaji kuhamia kilimanjaro(moshi manispaa)tubadilishane.atoke mkoa wa tabora wilaya yeyote.Aksanteni.
  7. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    jamani mi ni mwl sekondari naomba anayehitaji kuhamia kilimanjaro(moshi manispaa)tubadilishane awe wa tabora wilaya yeyote.aksanteni.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tulio chaguliwa kwenda Kahororo boys tufahamiane hapa

    kwa mwalimu anaehitaji kuhamia kilimanjaro(moshi manispaa)tubadilishane,atoke tabora wilaya yeyote.aksante.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Udom: Tabia ya kuwaongezea coursework wanafunzi waliofeli inakatisha tamaa

    siwez kushangaa kwa muhanga wa elimu kama huyu kuichafua UDOM
Back
Top Bottom