Upo sahihi kaka kwa Sasa hivi Tanzania imefunguka kuanzia mwaka Jana vijana wengi wa Kitanzania wanasafiri kwenda nje tushaanza kupata maagent wa Kitanzania wa uhakika zamani maagent wa uhakika ilikuwa mpaka uende Kenya ama Uganda
Umeiandika comment yako kwa makasiriko ndugu yangu.... Mm Uzi wangu nimeandika kama kutoa shukurani kwenu members bila hili jukwaa binafsi nisingekuwa hapa nilipo.... Ndio maana nikasisitiza kuwa hili jukwaa tulichukulie kwa mabadiliko chanya kama nilivyolichukulia na Leo nipo hapa ndio maana ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.