Recent content by mchorongaji

  1. mchorongaji

    DUWASA tusaidie kufanya usambazaji wa maji maeneo ya Mkonze

    Ndio wamechimba ila ni zaidi ya miezi minne sasa usambazaji wala ujengwaji wa Tank hakuonyeshi dalili yeyote.
  2. mchorongaji

    DUWASA tusaidie kufanya usambazaji wa maji maeneo ya Mkonze

    Mamlaka ya Maji ya Dodoma (DUWASA) Kuna maeneo yapo mjini Dodoma hususani maeneo ninayoishi (MKONZE) mwanzo tulikuwa tukipata maji ila toka mwaka huu umeanza maji hayafiki kabisa kisingizio kuwa pressure ya maji ni ndogo tumejaribu kufuatilia kwenye mamlaka husika wakafanikiwa kuchimba kisima...
  3. mchorongaji

    Inahitajika mtaji kiasi gani ili kuweza kufanya shughuli za uwakala wa mabenki?

    Biashara hizi ukiwa unaomba uwakala wanahitaji tu uwe na kianzio cha 2M ndipo wakupe machine (Pos) Kwa ushauri ili uweze kumudu hizi biashara lazima uzingatie hivi. 1. Mtaji Walau ukiwa na 10M itakusaidia kwa mzunguuko wa siku nzima haitokupeleka bank mara kwa mara kutoa float au kuchukua...
Back
Top Bottom