Recent content by Mchokolo

  1. M

    Mnaoishabikia Urusi muwe mnapata aibu kila mkitazama hii picha

    Tatizo una chicken mind. Inawezekanaje ukaamini marekani inajua exactly statistics ya silaha zinazimilikiwa na Russia
  2. M

    Mnaoishabikia Urusi muwe mnapata aibu kila mkitazama hii picha

    Na hiyo misaada inayopelekwa kila siku Ukraine imejumlishiwa wapi kwenye hiyo statistics?
  3. M

    US may end aid to Ukraine after midterms – Axios

    Nitafurahi ikiwa hivyo na kibabu Biden kiwekwe ndani kwa matumizi mabaya ya pesa za umma maana kibabu wakati kipo vice president, Trump alikuwa anamshutumu sana kuwa mwanaye Biden alikuwa na contract/project na jeshi la Ukraine na hili la Russia kuitandika Ukraine kibabu kimefura kwa hasira na...
  4. M

    Ndege ya Urusi ilirusha kombora karibu na ndege ya kijeshi ya Uingereza juu ya Bahari Nyeusi

    Umoja wao wa NATO wanaufyata kwa Russia. Uk tunamwona kama chawa tu
  5. M

    Msaada wa Iran kwa Urusi kumponza, Ulaya waanza kujadili cha kufanya

    Walikuwa wanataka waiadhibu Irani kwa kukiuka mikataba waliosaini alafu eti mwishoni mwa majadiliano ndio wanakumbuka Trump aliondoa hayo makubaliano na ndio maana wameshindwa kutoa maamuzi. Hii UN ni ya kijinga sana
  6. M

    Msaada wa Iran kwa Urusi kumponza, Ulaya waanza kujadili cha kufanya

    Silaha pekee iliyobaki ya NATO kuitawala dunia ni sanctions. silaha ya sanctions imeshapitwa na wakati na ndio maana nchi nyingi sasa zinataka kujiunga na BRICKS Ili kuachana na ukoloni mamboleo wa marekani na NATO
  7. M

    Kwanini Iran na Yemen wamekuwa na mipango ya miaka mingi kulipua Mecca na Medina?

    Sa Sasa hayo maoni ya mjinga mwenzako tena amekuwekea alama ya kuuliza ili uelewe ndio umeona big deal la kukufanya ufungulia uzi? Pumbavu
  8. M

    Kwanini Iran na Yemen wamekuwa na mipango ya miaka mingi kulipua Mecca na Medina?

    Kila kitu inasemekana. PUMBAFU. usirudiae tena kuweka habari za kitoto hapa. Siku hizi JF imevamiwa na vitoto vingi sana
  9. M

    Marekani kuivamia Kivita Saudia ama vikwazo?Anajiunga na BRCS

    Marekani imeshindwa kuwa kiongozi. Tunatka UN mpya na inayoeleweka sio hii ya sasa ya magumashi
  10. M

    Marekani kuivamia Kivita Saudia ama vikwazo?Anajiunga na BRCS

    Kazi kwenu pro NATO. Mlichokuwa mnamsema Russia vibaya sasahivi huyo bwana wenu ndio anakwenda kufanya, sijui mtakija na ngonjera gani??
  11. M

    Iran yakanusha kupeleka drones zake Urusi, hivi wanaogopa nini?

    Hawaogopi kitu, hapo wanacheza na kitu kinachoitwa politics
  12. M

    NATO waanza maandalizi ya vita vya nyuklia

    NATO KWA MIKWARA MBUZI TU, HAWAJAMBO
  13. M

    Kusaidiwa kwa silaha za kivita, inamaana kuwa Mrusi anatambo nyingi kuliko uhalisia?

    Huyo unaeaminishwa supa pawa mbona haendagi peke yake kwenye battle filed? Vipi ana uwezo mdogo?
  14. M

    Vikwazo vya uchumi kwa Russia

    Dua la kuku hilo. Gesi, oil na mbolea ni bidhaa adimu sana. Wajinga tu ndio wanaoweza kususia hizo bidhaa.
  15. M

    Picha: Jumatatu ya majonzi mji wa Kiev unatanda moshi tu Urusi kweli kapania

    Kukata huu mjadla. Kwa kifupi ktk hii dunia hakuna nchi inayoweza kupigana vita (one to one) na Russia ikashinda. Hakuna nchi inayoweza kuishinda Russia in battle field on one to one. Ninasisitiza HAKUNA
Back
Top Bottom