Wanajukwa naomba mnisaidie kuhusu mkopo wa jiwezeshe uliotangazwa na stanbicbank wiki hii maana kila nikijitahidi kuitafuta huduma hiyo kwenye app yao siioni lakini walitangaza kuwa ipo mkopo kwenye simu
Hata mimi kiukweli Natamni Mungu anisaidie kiukweli nina mwanangu wa kike hata afundishweje anasahau hapohapo iwe vyadarasani au kanisani,nilipiga nikapeleka kwa mama lkn wapiiiiii nikapeleka kwa mashangaz lkn wapiiiiii,nimenyoosha mikono juu nimewaambia wasimpige tena
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.