Recent content by MchinjaKobe Original

  1. M

    Naomba kujua machache kuhusu biashara ya Chupa za Plastiki zilizotumika

    Wadau, ningependa kujua biashara ya kukusanya chupa za plastic zilizotumika kwa kuwa nimeona kuna fursa katika mkoa niliopo. Dar imekuwa dili sana naona watu wanabeba mizigo mikubwa ya machupa lakini huku nilipo chupa zinazagaa hakuna muokotaji. Soko lake likoje? Wanunuzi wake ni akina nani...
  2. M

    Biashara ya kuuza ardhi

    Wadau, Nilikuwa na mtaji mdogo nikanunua kiwanja kimoja nikakipiga fance ya wavu baada ya miezi 6 nkakiuza bei mara tatu ya niliyonunulia. Nikanunua viwili nikavipiga fance nishauza kimoja na kingine nahisi soon nitakiuza kwa faida nzuri ukizingatia bei ninayonunulia. Nafanya biashara very local...
Back
Top Bottom