Recent content by mchilo

  1. mchilo

    Natafuta kazi, Elimu Kidato cha Nne

    nashukuru sana ndugu yangu kwa kunipa mwanga
  2. mchilo

    Natafuta kazi, Elimu Kidato cha Nne

    nashukuru kwa mchango wako best
  3. mchilo

    Natafuta kazi, Elimu Kidato cha Nne

    naweza ndio na nimewah fanya biashara
  4. mchilo

    Intreview Nimetakiwa Niende na Elfu 5: Je, huu si Utapeli?

    ni kweli hao ni watu wa promotion mi mwenyewe yalishanikuta na matokeo yake nikaambiwa nikatembeza chupa za chai na sabuni hahaaa
  5. mchilo

    Natafuta kazi, Elimu Kidato cha Nne

    amiin ndugu yangu
  6. mchilo

    Natafuta kazi, Elimu Kidato cha Nne

    Wapendwa mimi ni msichana wa miaka 23 natafuta kazi ya kuuza duka liwe la nguo, vipodozi au vitu vingne. elimu yangu kidato cha nne naishi mabibo dar-es-salaam. mshahara uwe kwanzia 250,000 kwenda juu kulingana na kazi yenyewe , ninalugha nzuri kwa watu wote. mawasiliano:0654 943 124...
Back
Top Bottom