Mali ni ya mume na mke, mali sio ya watoto. Acha watoto watafute mali zao. Nyie ndo mnafuga uzembe wa kwamba eti mali wanatafutiwa watoto, upumbavu kabisa!!
Hapana, mwanamke alikosa hekima alikuwa na tamaa ya mali kwanini hakumwambia tangu mwanzo kwamba wasijenge mahali pale, udhaifu wa Kweka kumstahi na kumheshimu mke wake ndo iwe nongwa??, mwanamke alikuwa na tamaa ya mali, halafu alitaka kumfarakanisha Bw. Kweka na watoto wake. But I stand to be...
Why mtoto apewe umiliki wa nyumba angali wazazi bado wapo?, halafu mwanaume hataki iwe hivyo hataki mwanamke unalazimisha, mwanamke alikuwa na nini nyuma ya pazia??
Kwakweli ni mambo ya ajabu sana, it was designed poorly, sijui watu walikuwa wanakimbilia upigaji sijui, hata eneo lenyewe halitoshi ku-accommodate magari yote. Kwakweli kwenye stand ya Magufuli ni kero kwa wasafiri.
Exactly, hata mimi naona kama Odemba bado hajakomaa kwenye uulizaji wa maswali technical, sometimes anauliza leading questions, juzi nimemshangaa sana kuuliza maswali ya kitoto kabisa!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.