Natafuta mtu anaeuza ma bale ya viatu vya mtumba hapa Dar. Nina duka langu na na wateja wanahitaji variety na good quality. Kama ni Kenya naomba basi contacts za hao wauzaji.
Natanguliza shukrani
Natafuta mtu anaeuza ma bale ya viatu vya mtumba hapa Dar. Nina duka langu na na wateja wanahitaji variety na good quality. Kama ni Kenya naomba basi contacts za hao wauzaji.
Natanguliza shukrani
Jamani nawa shukuru sana kwa kupata mda wakujibu. Thank you all for your help.
Bushland hizo pochi sina ndo nazitafuta
Tokyo40 asante sana. Nimejaribu ku save suppliers wenye hizo sofa kwenye account yangu. Thanks for the advice
Kulyunga asante sana nitamtafuta mwasalemba
Habari wana JF,
Kuna thread moja nilisoma kuhusu kununua mizigo kutoka China kupitia website ya alibaba. Nahisi iliwekwa na ndugu mwasalemba kama sija kosea. Nimeicheki sana hii website kwa siku nyingi.
Nimeulizia bei na wengine wamenijibu. Shida ni it's difficult ku trust na ku weka order ya...
Habari wana JF,
Ninamtaji wakutosha kuanzisha boutique la nguo za watoto wa changa hadi miaka 5. Kwa wale wanao safiri kwenda China, dubai, thailand, nk naomba muongozo kuhusu ma supplier. Majina ya ma supplier na info yoyote ambayo inaweza kunisaidia ki biashara.
Thanks in advance
Habari wana JF.
ninamtaji wakutosha kuanzisha boutique la nguo za watoto wa changa hadi miaka 5. Kwa wale wanao safiri kwenda China, dubai, thailand, nk naomba muongozo kuhusu ma supplier. Majina ya ma supplier na info yoyote ambayo inaweza kunisaidia ki biashara. Thanks in advance
I am looking for someone who is studying or has completed a masters degree in microbiology and immunology at MUHAS. I just wanna know more about the courses and work load. Any help rendered will be greatly appreciated. Thanks in advance.

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.