UCHUMI
Ili uchumi wetu uweze kupanda serikali lazima ipambane kuongeza thamani ya shilingi yetu kitaifa pamoja na kimataifa. Thamani ya shilingi yetu ni ndogo sana kulinganisha na fedha yingine hasa za kigeni na hii imekuwa sababu kubwa sana ya kushuka kiuchumi siku hadi siku mfano dola moja ya...
Uchumi na Biashara
Serikali imekua haitoi kipaumbele kwa biashara za matandaonu lakini biashara za mtandaoni zinaweaza kuwa chanzo kikubwa cha mapato ya nchi na ajira kwa vijana. Mfano biashara ya kubadilisha fedha mtandaoni (FOREX) biashara hii haifaamiki na haijapewa idhini na serikali...
Uchumi na Biashara
kama tutatengeneza mifumo bora dhidi ya wafanya biashara wadogo (Machinga na mama ntilie) tunaweza kukuza uchumi wetu pamoja na biashara. Mfano Serikali inapo anzisha miji inapo tenga maeneo kwa ajili ya masoko, shule ,hospitali, vituo vya mabasi, nyumba za ibada nakazalika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.