Recent content by mchangamadini

  1. M

    JamiiForums Tanzania Viwanja vinauzwa jijini Dodoma.

    Nahitaji kiwanja nala
  2. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yatenga mamilioni ya fedha kukamilisha miradi mikubwa ya maendeleo Nchini

    Nchi ya viwanda ileeèe kwenye kona. Jamani huu ni ukweli mchungu. Tunafurahi kuona bajeti ya mwaka huu ya wizara ya ujenzi mawasiliano na uchukuzi inavyoenda kutatua changamoto Katika miradi mikubwa ya maendeleo na kufanikisha kukamilika kwake. Miradi mikubwa inayoenda kukamilika ni hii hapa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Halmashauri Singida Vijijini, Mbunge, DED wapinga maamuzi ya Waziri kuwapelekea Hospitali

    Tuungane kuwalaani hawa wahuni na majambazi yanayovaa tai
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Halmashauri Singida Vijijini, Mbunge, DED wapinga maamuzi ya Waziri kuwapelekea Hospitali

    Na wewe ni kibaraka wao unapinga wilaya kupata hospitali ya kisasa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Halmashauri Singida Vijijini, Mbunge, DED wapinga maamuzi ya Waziri kuwapelekea Hospitali

    Imedumaa? Basi wewe una matege ya macho km sio ya ubongo, kwa hiyo unakubaliana na hawa wanaopinga tuletewe hospitali?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Halmashauri Singida Vijijini, Mbunge, DED wapinga maamuzi ya Waziri kuwapelekea Hospitali

    Mnaokejeli taarifa hii pingeni kwa vielelezo. Singida watu tunateseka kwa kukosa huduma mbalimbali leo tumeletewa hospitali Eti Elia digha na mkurugenzi wanashirikiana wanatumia kodi zetu kwenda kuloga kwa serikali sisi tusipate huduma bora za afya kwa maslahi ya matumbo yao
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Halmashauri Singida Vijijini, Mbunge, DED wapinga maamuzi ya Waziri kuwapelekea Hospitali

    Tutaendelea kuweka wazi hujuma wanazozifanya gizani hawa akina Elia na genge lake
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Halmashauri Singida Vijijini, Mbunge, DED wapinga maamuzi ya Waziri kuwapelekea Hospitali

    Hili ni ajabu la kumi duniani. Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Singida Vijijini ambaye pia ni kibaraka mkubwa wa Lazaro Nyalandu, mbunge Monko, DED Rashid Mandoa, Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri, Omari Ng'ombe pamoja na Diwani Munyawi Hinga wa Ikhanoda na wa Merya Idd wameondoka leo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yamtolea tamko Cyprian Musiba juu ya kutoa kauli hatarishi

    Sio kweli. Waziri hajatoa hayo majibu. Amesema musiba akome kutoa kauli hizo za kichochezi vinginevyo atakamatwa na kufikishwa kwenye sheria
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Monko kama Nyalandu, aungana na mkt wa halmashauri na DED kuhujumu wananchi

    Baada ya serikali kutenga mamilioni ya fedha kwa ajili ya kujenga hospitali ya wilaya Katika mji mdogo wa Ilongero ambapo ni eneo pendekezwa kwa ajili ya kujenga makao makuu ya halmashauri, mbunge wa jimbo Justin Monko na mkurugenzi wa wilaya Rashid Mandoa wameonekana wakipanga njama za...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Singida Mjini Mussa Sima aitahadharisha serikali suala la RC Makonda

    Msikilize mwenyewe. Ameiomba serikali kufanya kazi kwa kuitumia mifumo yake rasmi iliyopo kisheria kwa kuepuka kufanya kazi kwa zina moto. Sima amelieleza bunge kuwa utawala bora ni kiongozi kusikiliza kisha kurudi Katika mifumo rasmi ya serikali. Ametolea mfano wa mama aliyejitokeza ikulu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania DR Mollel wa Siha aicharanga CHADEMA kwa takwimu. Atoa ushuhuda mzito

    Sitii neno na sikupotezei muda, msikilize hapa mubashara alivyolipuka bungeni Jana.
Back
Top Bottom