Jamani nashukuru kulileta hili suala hapa katika jambo forum.
CCM ni wajanja kwani kwa makamba kuwa Katibu Mkuu wa Chama anatakiwa kulipwa mshahara na ukiunganisha hizi post atakuwa analipwa mshahara kama mbunge lakini kazi anafanya CCM na bunge limalizapo mhula naye analipwa marupurupu yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.