Recent content by Mcben100

  1. Mcben100

    Mabadiliko ya katiba yakija vijana tugome kuongozwa na wazee

    Shida ya mfumo huu ata akiingizwa kijana au mzee wanageuzwa kuwa chawa kwanza kwa hiyo ni kweli katiba mpya na mageuzi ya mifumo ni muhim sana kulitoa hili taifa hapa.
  2. Mcben100

    Kilichonipa huzuni kuu kwenye iftari ya Mkuu wa mkoa wa Arusha Bwana Makonda

    Ukweli ni kwamba nchi yetu ni masikini sanaa yaan sanaaa, ila hatuna la kufanya maana ndo nchi wameshajikabidhi na kuidhibiti watu wasio na uwezo wa kusogeza popoye zaidi, zaidi ya asilimia 90 ya watanzania ni masikini zaidi asilimia 70 ni ombaomba, prove me wrong. Ndio maana CCM haitakaa...
  3. Mcben100

    Dar es Salaam bado ni jiji la kimasikini saana! Ushahidi kwenye picha!

    Mkuu london unayoiona mara nyingi ni ile yenye historical iconic structures tu, ila london in skyscrapers za kufa mtu
  4. Mcben100

    PreGE2025 Lissu amjibu Wenje, asema aliudanganya umma kuhusu suala la Abdul

    Mimi mfano wa kiongozi mzuri nchi hii ni Lissu tu, familia ipo uhamishoni kutokana na mlichomfanyia na mzalendo wenu jiwe, na pia mnachokifanya sasa na mama enu kuteka na kuwapoteza wakosoaji na wasema ukwel wa taifa hili. Kwa roho ya uzalendo aliyonayo ameamua kuja kupambana mwenyew bila...
  5. Mcben100

    PreGE2025 Lissu amjibu Wenje, asema aliudanganya umma kuhusu suala la Abdul

    Yaan unatwambia unafikiri , halafu ndo unafikiria hivi kwamba wala rushwa waliojaa tamaa ndo wanahaki ya kukaa kwenye chama halafu mzalendo alieweka maslahi ya taifa mbele bila tamaa ndo afukuzwe? Kweli CCM ni wasengerema sana na akili zao zimejaa mavi. Tafuta akili ya kufikiri usitupostie mavi...
  6. Mcben100

    Kule Paris Ufaransa ndiko Utalii unako Tangazwa haswa, kuliko ile Royal tour, Serikali iko busy na Yanga na Simba

    Mtaji wa CCM ni umasikini na ujinga bila hivi sisiem haiwez kuongoza hili taifa, kwa idadi ya watu tulionao huezi kosa watu wenye vipaji vya kucompete kwenye mashindano ya olympic, tatizo kuu ni umasikin wa makusudi tunaosababishiwa na CCM, ukitaka kufa na njaa kirahis tz invest kwenye michezo...
  7. Mcben100

    Maisha ya bongo ni magumu mnoo vijana wa kiume wanapitia pagumu...Hasa bodax2

    Si ndio tumeambiwa hawa ndio engine ya uchumi wa taifa letu
  8. Mcben100

    Katavi mnachomshangilia Rais Samia ni kipi, amewafanyia nini, au Mmelogwa?

    Maadui watatu wa taifa hili ni UJINGA, UOGA, UCHAWA
  9. Mcben100

    Hivi kwanini Prof. Janabi asiwe Rais wa Jamuhuri ya watu wa Tanzania?

    Tatizo la nchi yetu linaanzia hapa, hatujui tunachohitaji, ukweli ni kwamba hatuhitaji mtu bora ila tunahitaji mfumo wa kuongoza nchi uwe bora, mfumo ukiwa wa hovyo hata uweke mtu bora kias gan haichukui round mnaanza kumrushia tena mawe, kwa sasa nchi inaumizwa na mfumo mbovu na wenyew watu...
  10. Mcben100

    Tabia ya kuweka bendera za Israel kwenye magari na madhabahuni inashangaza sana

    Mim ningeweka ya tz lakin nchi yang haina lolote la kunifanya niitukuze, imebarikiwa raslimali nying ambazo wakoloni wenzetu wanazifuja ovyo nakusababisha tuish kama vile jangwan
  11. Mcben100

    Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani. Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota

    Nipo ulaya miaka miwili sasa nakazia hii kauli bora uwe mbwa ulaya kuliko binadam kuwa mtumishi wa umma au mfanya biashara wa kawaida bongo. Tusiishie kulaumu hizi kauli tuchukue hatua nasis kupafanya bongo mahali pazuri kuishi kama walivyofanya huku wenzetu mbona tuna nchi nzuri M/Mungu...
  12. Mcben100

    Dar: Kenya wamwomba Mwamposa awaombee Gen Z waache ghasia

    Ukiwa hujui nan anapaswa kuombewa kati ya gen z na machawa+ cowards wa tz, una mental disorder. Watz watazinduka wakiwa wameshabak skeletons
Back
Top Bottom