Recent content by Mc FR

  1. Mc FR

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mitungi empty 20 jumla inauzwa sh. 350,000. Mikubwa 3, midogo 17

    MITUNGI EMPTY IPO 20 INAUZWA JUMLA 350,000/- MIKUBWA MITATU; Oryx 1, ogas 2 MIDOGO KUMI NA SABA; oryx 4, lake 4, ogas 3, taifa/mihan 5, Manji 1 Ipo Mikwambe, Kigamboni Siuzi mmoja, nauza yote jumla MAWASILIANO; +255658628441
  2. Mc FR

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mzani original wa india sh. 150,000/-

    MZANI ORIGINAL WA INDIA SH. 150,000, UPO MIKWAMBE KIGAMBONI MAWASILIANO; +255658628441
  3. Mc FR

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jiunge na Dirm VFD uokoe 50% ya EFD machine, ni bora, salama kisasa zaidi

    Hapo, naona watu wanapigwa tu. Kama issue ni software, watu wangepatiwa bure na tra, maana wanatakiwa tena kulipa kodi baada ya kutoa hizo risiti. Tra ingesimamia zoezi hili kwa umakini ili kuepuka watu kulipishwa mahela mengi kwa ajili ya software
  4. Mc FR

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kujua hatua za kujisajili Open Schools

    define it, what is meant by shule huria
  5. Mc FR

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kujua hatua za kujisajili Open Schools

    je, unamaanisha kituo cha tuition?
  6. Mc FR

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kujua hatua za kujisajili Open Schools

    define it, what is meant by shule huria
  7. Mc FR

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kujua hatua za kujisajili Open Schools

    open school ndio nini
  8. Mc FR

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye uhitaji wa viwanja na mashamba Dodoma

    mimi nahitai eka 10 tuwasiliane kwa 0693466821
  9. Mc FR

    JamiiForums Tanzania Natafuta Viwanja vya kununua

    pia kina ofa, ukinunua unapata hati ndani ya miezi 3, karibuni 0717250805
  10. Mc FR

    JamiiForums Tanzania Natafuta Viwanja vya kununua

    Kiwanja kimepimwa, ni 25x27 (675 sqm) kinauzwa tshs 5.5m kipo eneo la Sofu kibaha. Kwa anayehitaji tuwasiliane kwa 0717250805
  11. Mc FR

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kiwanja chenye hati kinauzwa 2.8 m, Sengerema

    Kiwanja kimepimwa, kinauzwa tshs 2.8m kipo bujora ya Sengerema, ukubwa 17x40, kipo jirani na viwanja vya national housing. Kwa anayehitaji tuwasiliane kwa 0717250805
  12. Mc FR

    JamiiForums Tanzania Kiwanja sengerema

    bei ni 2.8m, ukiwa tayari tuwasiliane, kiwanja nilikinunua Halmashauri na file lake lipo office ya ardhi
  13. Mc FR

    JamiiForums Tanzania Kiwanja sengerema

    Kipo karibu na makazi ya watu, ila cjajua ni bujora ipi kwasababu siyo mwenyeji sana, ni viwanja vilivyouzwa kwenye mradi wa UTT, kipo jirani na viwanja vya national housing
Back
Top Bottom