Recent content by Mc digala

  1. Mc digala

    Selection RUCO 2014/2015, angalia jina lako hapa

    Iv jaman hostel za chuo nkitaka kupata niwah kabla Ya trh waliosema au..? Maana naskia hostel chache pale ruco
  2. Mc digala

    National Council for Technical Education (NACTE) Wanafunzi walioomba Shahada ya kwanza

    Kuna baadhi ya watu ndo bado lkn ss wengine tushakuwa selected tena wamentumia mpk sms kwenye email nmechaguliwa first choice chuo flani
  3. Mc digala

    Leo nimepata email kutoka NACTE: Ina tafasiri gani kwangu as equivalent applicant?

    Mm nimeomba kupitia nacte lkn nmepata chuo nmeangalia kwenye vyuo nlivyoomba nkakuta nmechaguliwa first choice
  4. Mc digala

    Selection RUCO 2014/2015, angalia jina lako hapa

    Tuwasiliane kwa wale waliochaguliwa tu mi nko dar 0654834481
  5. Mc digala

    Selection RUCO 2014/2015, angalia jina lako hapa

    Hhahhahahha poa poa kaka timekupata
  6. Mc digala

    Selection RUCO 2014/2015, angalia jina lako hapa

    Hawajatoa kinamba wametoa kimajina wao andika jina nkuangalizie
  7. Mc digala

    Selection RUCO 2014/2015, angalia jina lako hapa

    Welcome RUCO! Karibu RUCO! Ruaha University College (RUCO) is a private and secular institution of higher learning that is open to all regardless of their faith or religious affiliation. It was established by the Tanzania Episcopal Conference (TEC) under its Trust Deed of the Registered...
  8. Mc digala

    Utaratibu wa kuwapanga wanafunzi vyuo mbalimbali

    Sasa mm ntajuaje kama nmechaguliwa chuo gan na nimejaza vyuo vitano.
  9. Mc digala

    Taarifa kutoka TCU

    we ndo unajua selection wanatoa lini au..? Trh ya kurelease selection ni trh 22 na hiyo hiyo tarehe ndo wanakaa kikao cha wawakilishi wa wanavyuo wote tz na kabinet ya tcu na nacte asa unabisha nn ilo umeliona au hujaliona
  10. Mc digala

    Taarifa kutoka TCU

    Selection tarehe 22 angalien kwenye website ya tcu na nacte wametoa tangazo. Hamchanganywi na mtu tatizo lenu mnakurupuka tu hamsomi taarifa na kufatilia kwenye website zao
  11. Mc digala

    Nini kinafata TCU baada ya kutoa Post?

    Tarehe 22 ndo post jaman. Huwez ukalazimisha watoe post kesho alaf watu mnafikir ni kazi rahisi sanaa watu wanacheza na code uko hawalali wanawaangaikia halaf una kuta mijitu inaanza kuponda nacte or tcu
  12. Mc digala

    NACTE wangefanya kama TCU

    Selection bado bhnaaa mbona mnatuchanganya
Back
Top Bottom