Recent content by mbwitu

  1. M

    Juma Raibu Meya aliyevuliwa Madaraka Moshi adaiwa kung'oa miundombinu aliyoiweka alipokuwa madarakani

    Nilitaka kulisema hili. Nadhani kwa sheria ya uhujumu uchumi panaweza kuwa na jinai hapa. Wanasheria, your legal opinion is kindly sought.
  2. M

    Mtego Aliojitegea Rais Samia, nani atauvunjilia?

    Wacha wafu wazikane.
  3. M

    Mama wa Askari polisi aliyeshushwa cheo amlilia Rais Samia

    Maneno yote haya kwa mama/bibi wa miaka 85. Hebu jitafakari
  4. M

    Tanzania’s former Tourism Minister, Ezekiel Maige ordered to pay CRDB bank Sh184.6 million

    Pole nyingi kwa brother Maige. Pambana hili nalo litapita. All the best jirani.
  5. M

    TANZIA Prof. Nkunya wa TCU afariki dunia

    Stephen Andendekisye Kibona nadhani alifariki kati ya 1993 na 1994.
  6. M

    Kikwete: Ni bora Slaa awe Rais kuliko Tundu Lissu kuwa mbunge

    Amina. Neno likatimie kwa manufaa ya waja wake na ukuu wa Mungu ukazidi kudhihirika.
  7. M

    SUGU: Mahakama Kuu imesema nilifungwa kihuni, nikikamata ndege msiseme Mimi sio mzalendo

    Sugu, Lema, Heche, Mdee na Lissu ni ndugu zangu wa hiari. Bila ya kuwasahau wapenda haki wote Tanzania.
  8. M

    Corona inatufundisha Tanzania tuna tatizo kuchanganya siasa na professionalism. Hongera Prof. Janabi kwa elimu uliyotoa, so far you are the best!

    Mimi si mtaalam wa utabibu. Lakini alichotuandalia Prof. Janabi na nikilinganisha nilichookoteza kwa wataalam wengine na international media nimeelimika mno. Kudos kwa prof. umetupa elimu ya bure kabisa.
  9. M

    Waraka wa Tundu Lissu kwa wanamabadiliko na watanzania wote

    Nasi tunakuzidishia maombi. CHADEMA no hate no fear.
  10. M

    Tundu Lissu: Salamu za sikukuu ya Noeli na Mwaka Mpya kwa wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)

    Sijawahi kuacha kusoma andiko lako na mara nyingi ulihifadhi kwa ajili ya rejea. Mungu amekubariki na kukujaalia akili nyingi mno. Nakuhakikishia kamanda tupo tayari kwa utekelezaji. No hate no fear.
  11. M

    Miguna Miguna amvaa Rais Magufuli kuhusu kukamatwa kwa Tito Magoti

    Jamani tafadhari tusisafishe nyumba yetu na kufagilia uchafu kwa jirani. Yale mauaji ya kimbali ya Rwanda na Burundi yalifanywa na mashetani wachache na si raia wengi walio wema. Ushenzi ni ushenzi tu haijalishi rangi, kabila, cheo wala dini ya mtu. Mtu akiwa mshenzi na katili ni ngumu...
Back
Top Bottom