Tanzania’s former Tourism Minister, Ezekiel Maige ordered to pay CRDB bank Sh184.6 million

Mtu alikuwa Mbunge hawezi kushindwa hizo hela

Kwann hakufanya hizo loan repayments tena just 3m per month na yeye ndiyo aliomba restructuring ya hiyo loan? It is very possible huyu jamaa hana hiyo pesa kwa vile nilivyokuwa ninamuona hapo crdb azikiwe. Ninafahamu line ya business ambako alikuwa amewekeza mambo hayakuwa mazuri si kwake tu bali sector nzima.
 
Ndiyo sababu utakufa maskini!

Hata akina Bhakresa hukopa.
Umejuaje kwamba yeye ni masikini mkuu amekuambia? Anaweza kuwa anaichukua mikopo lakini yuko vzr financially. Halafu pia, yeye kuichukua mikopo ndiyo ulimwengu wake huo ndicho anachokifahamu hakuna sbb ya kumshambulia kwani hawezi kuwa zaidi ya anachokifahamu period.
 
Kwann hakufanya hizo loan repayments tena just 3m per month na yeye ndiyo aliomba restructuring ya hiyo loan? It is very possible huyu jamaa hana hiyo pesa kwa vile nilivyokuwa ninamuona hapo crdb azikiwe. Ninafahamu line ya business ambako alikuwa amewekeza mambo hayakuwa mazuri si kwake tu bali sector nzima.
Alipe! Akilipa wegine watakopeshwa!
 
Pole nyingi kwa brother Maige. Pambana hili nalo litapita. All the best jirani.
 
Kumbe ubunge ni kazi rahisi kuliko kujiajiri lakini wabunge wanatuhamasisha kujiajiri.
 
Former tourism minister (Ezekiel Maige) ordered to pay CRDB bank Sh184.6 million

The Citizen

Sep 15, 2021 10:15 AM

Summary

CRDB Bank Plc sued the former Msalala lawmaker last year after failing to repay part of Sh296.3 million loan he secured from the bank

Dar es Salaam. Mr Ezekiel Maige, who is a former Natural Resources and Tourism minister, has been ordered to pay CRDB Bank Plc Sh184.6 million over a loan default.

Lady Justice Katarina Mteule of the Commercial Division of the High Court was satisfied that Mr Maige took no necessary steps to defend the suit brought against him.

CRDB sued the former Msalala lawmaker last year after failing to repay part of Sh296.3 million loan he secured from the bank.

According to court documents, the loan was secured by mortgage over plot number 2002, Block E, located at Mbezi Beach, Kinondoni Municipality in Dar es Salaam.

The court heard that after having failed to repay the loan per agreed terms and conditions, Mr Maige made partial payment of Sh100 million and applied for restructuring of the facility.

He applied to the bank and was allowed to pay Sh3 million per month instead of Sh4.7 million. It was agreed under the rescheduled loan letter that Mr Maige would repay the loan facility on the monthly instalment basis at the interest of 18 percent annually through monthly deductions from his account.

The bank alleged that the defendant has failed or refused to adhere to the terms and conditions of the credit facility by not remitting the monthly instalments as agreed such that by August, 2020 the defendant loan account was in arrears of Sh184.6 million.

CRDB also alleged that on several occasions it demanded repayment of the loan with interest from the former minister but failed to heed to the demands. After the case was filed in court, Mr Maige filed his written defence on May 21, 2021.

However, the defence was challenged by the bank which asked the court to strike it out for being filed out to time. The court sided with the bank and struck out the defence.

With Maige’s defence struck out, thus rendering the CRDB claims uncontested, lawyers representing CRDB went ahead to ask the court to enter a default judgment under rule 22 (1) of the High Court (Commercial Division) Procedure Rules.

The rule is categorical that where a party in a case fails to file a written statement of defence within specified period, the court shall enter judgment in favour of the plaintiff.

“It is apparent that the defendant was dully served and that the written statement of defence filed by the defendant was stuck out by the court. It is obvious in law that when a mater is struck out, it is considered as if it has never been there.

“In this respect, the plaint remains uncontested for having no written statement of defence filed to defend that suit. The written statement of defence was struck out on 2/7/2021 and to this moment, the court does not have in record any pending application indicating the defendant’s effort to take necessary steps to refile the defence,” said the judge.

The court ordered Mr Maige to pay the bank Sh184.6 million and all accruing interest at 18 percent and penalties at 3 percent from September 24, 2020 to the date of full payment. CRDB bank will, however, have to publish a summary of the court’s decision in at least two newspapers of wide circulation within ten days from the date of the judgment before it can execute the award.
HAYA MAANDISHI BWANA NDIO UTAKUNA NA MWANAMKE ANAMILIKI BILION 6,789,823 KWENYE BANKI AKAUNTI BADO MWANADAMU ANAFIKIRI KUNA MTU MALI... HUYU MWANAMKE BADO YUPO CRDB BANKI
 
Huyu mwamba kitu pekee alichofanya kwenye Jimbo lake la msalala ni kuwajengea kinyumba Cha uchwala wazazi wake,huyu mshenzi alikula Rushwa ili barabara ya kutoka kahama kwenda Kakola isijengwe.

Nilikuwa nakutana nae Kahama yupo kwenye Nissan patrol yake tinted na dereva,hana story na mtu,anatembeza likitambi tu,
Mwenyekiti wangu bweni la Chui Shybush
 
Ndio maana kina Mdee wakaona isiwe tabu, acha tu wakalale na shetani.

Mtaani kugumu nyie
Umeona eeh? Mdee na wenzake sio wapumbavu, wakaona isiwe shida. Acha washushe heshima zao kwa jamii, lakini watoto waende toilet
 
..inaelekea hakulipwa kwenye dili la kutorosha twiga kwa ndege.

..maige ndio alikuwa waziri wa maliasili na utalii wakati wa dili hilo.
Alililipwa Kama usd 400 HV kipindi kile gazeti la mwananchi limenukuu kuwa alilipwa na kununua gorofa maeneo ya mbezi zamani ya tzs milioni Mia Saba ..nakumbuka vzr Sana zakata lake
 
Umeona eeh? Mdee na wenzake sio wapumbavu, wakaona isiwe shida. Acha washushe heshima zao kwa jamii, lakini watoto waende toilet
Ni kweli

Kwanza unakuta alikuwa na madeni yake ya kutosha
Halafu amekopa kwa ajili ya uchaguzi
Halafu kapigwa knock kwenye uchaguzi (fair or unfair haijalishi)

Anarudi vipi street? Mdee amekuwa MP kutoka 2005, sidhani kama kuna kazi nyingine anajua hapa duniani.
 
Back
Top Bottom