Mhe ikifika kwako ni e mail fake. Wewe si ndiye ulichukua muda wa Bunge letu tukufu kutusomea message fake ya Mbowe. Mbona unakuwa kigeugeu Mhe?. Kama unaamini kuna msg au e mail fake kwanini hukuwasiliana na Mhe Mbowe kwanza? Mshahara wa dhambi ni mauti. Angalia sasa Mungu analipizia hata muda...

Hata kina Lowasa na Chenge walipofukuzwa walipokelewa kishujaa na kufanyiwa sherehe kubwa nyumbani kwao. Yanayotokea kwa Zitto yalitarajiwa hasa ukizingatia aina ya Watanzania tulionao.
Kiongozi shupavu lazima awe mkali kidogo ili unaowaongoza au unaoshirikiana nao wajue mipaka yao ya kukujaribu au kukutania. Rais alitakiwa atume ujumbe kwa wenzake kuwa hataki utani kwenye jambo hili na wajirekebishe kwa makosa waliyofanya. Hawa ni vijana tuliowawezesha sisi kushika madarAka na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.