Wewe baptist hujui siasa. Ulitaka Mbowe asiitike wito wa ikulu kipindi anatoka Segerea? Kwann hasiende? Kumbuka makovu ya siasa za mabavu za Magufuli. Kama Mbowe asingelikwenda kumulainisha Samia, pengine kauhuru tunakokaona leo kwa vyama vya upinzani kasingekuwepo. Ulitaka aendekeze siasa za...
Swali gani hilo tena? Mapinduzi ya Zanzibar yalifanyika kumfukuza nani kama siyo sultan? Nini maana ya ukoloni? Hata kama biashara yao ya mwazo ilikuwa ni ya watumwa, lakini mwisho wa siku ni wao waliounda serikali.
Wewe ndiye mwenye fikra finyu. Akili yako imeshikiliwa sehemu fulani, unaendekeza njaa kwa kulipima vivoucher ili uandike upuuzi.
Nyerere hakuona kokote mbali. Aligubikwa na fikira za kijamaa kwa kutaka shirikisho la Africa Mashariki, matokeo yake akaambulia kuirubuni Zanzibar wakati huo wao...
Umeandika upuuzi mtupu. Watu kama hamna cha kuandika msijidhalilishe mitandaoni.
Mipaka yote unayoiona Africa imewekwa na Wakoloni. Kenya na Uganda wanaweza kuwa na nasaba zaidi ya hao Wazanzibar ambao wengine ni jamii za kiarabu. Uwezi kulazimisha muungano na Africa kusini sababu Wagoni wana...
Unapenda kuandika andika lakini kwa bahati mbaya huna kitu cha maana unachokiandika. Si kila mtu ndani ya Chadema anaongeka. Magufuli aliiwinda safu ya uongozi wa Chadema tena kwa fedha ndefu, aliambulia kuwapata watu kama Mwita Waitara na wenzie wanaotafuta uongozi kwa ajili ya matumbo yao...
Ni wanachadema tu ndiyo watakaohamua nani awe m/kiti wao. Hayo mengine mtateseka sana. Shughulikeni na mgombea ndani ya CCM wa kiti cha Urais 2025, form itakuwa moja au zaidi.
Waganga wa kienyeji toka Lumumba mmeibuka siyo? Ni wapi Lissu kamshutumu Mbowe rushwa ya chaguzi za ndani Chadema?. Hotuba tumeisikia wote, fedha ya rushwa imetoka CCM kupandikiza mamruki kwenye uongozi Chadema. Kawashitukia na kuwapa makavu laivu.
Ni Uhuru wako kumuita Magufuli shujaa, lakini kwa wengine tunashidwa kuelewa ushujaa wa Magufuli unatoka wapi. Ni chama kipi kisichokuwa na matatizo ktk chaguzi zake?
Lissu ni jasiri kwa kukemea rushwa ndani ya Chadema. Ni Jambo la heri. Chadema inaogopeka na chama tawala, hivyo wanatumia kila...
Wewe ni mgojwa wa akili, huwezi kuargue na Bams hata kama yuko usingizini.
Unakaririshwa kila kitu badala ya kutumia akili yako. Sijuhi unajuwa principle ya "wengi wape na wachache wasikilizwe"? Hakuna bunge lolote duniani ambalo huwa na kauli moja ktk kila jambo. Nasema kote duniani...
Ni wale wasiyokuwa na akili kama wewe unaekataa kusikia ukweli aliousema Lissu. Ni uongo au kitu gani alichosingizia? Taifa likiwa na watu wanafiki kama wewe ni hasara
Tanzania ikiwa na watu wengi wa aina yako, ni vigumu sana kujitambua kama taifa. Je, huyo Samia kumtoa huyo Tundu Lissu mafichoni ilikuwa hisani?
Nakushangaa sana kama utofatishi dhuruma, uonevu na haki. Nchi hii ni ya kila Mtanzania na kila mtu ana haki zake kisheria, kisiasa na kiuchumi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.