Recent content by Mbushuna

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kupata maumivu chini ya kitovu kwa mwanaume

    Preview Nina Maumivu chini ya kitovu, takribani ni miezi mitano sasa nime angalia Utra sound wamesema kuna vijiwe,nimetumia dawa lakini maumivu bado yapo pale pale na sina UTI, henia wala tezi dume. Naombeni msaada wenu wakuu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Habari njema kwa wenye tatizo la ngozi

    Mi Nina tatizo la ngozi, ambapo ngozi inakuwa na mabaka meupe, vipi ninaweza kupata tiba yake?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wachaga na Escudo/Rav 4 Model za zamaniii..T 107 A..

    Tena vataduishivye
Back
Top Bottom