Habari njema kwa wenye tatizo la ngozi

JAMII BORA

Member
Apr 18, 2017
78
125
Je umekuwa ukisumbuliwa na tatioz lolote la ngozi? Kama jibu ni ndiyo,
Bongo Tech tumekuwa tukitoa ushauri wa BURE juu ya masuala ya afya ya ngozi ikiwemo kujua aina za ngozi na jinsi ya kujipima ngozi yako ili kujua kundi ulilopo. Pia tumekuwa tukipendekeza tiba ya asili ya kutatua tatizo na isiyoleta madhara.

Matatizo ya ngozi tunayotatua ni pamoja na nywele kukatika, , chunusi, mba,fangasi sehemu mbali mbali za mwili, kuungua na moto, mionzi ya jua kuathiri ngozi, miguu kupasuka(magaga),mikunjo ya uzee,vipele ndevu, kuirudisha hali ya kawaida ngozi iloharibiwa na vipodozi au dawa za binadamu, ngozi kujaa sumu hivyo kuchochea magonjwa ya ngozi kama kuwashwa mwili .

Na hivi karibuni tumegundua Udongo wa asili ni wa hapa Tanzania, hauna madhara mwilini, umekuwa ukitumika na baadhi ya makabila ya Tanzania kwa miaka na miaka kulinda na kufanya ngozi zao ziwe za kuvutia.

Ni hivi kuna udongo asili kwa ajili ya kulainisha, kulinda na kufanya ngozi yako iwe ya kuvutia zaidi bila ya kuleta Madhara yoyote kwenye ngozi yako. Udongo huo unaondoa vipele na rushes Mwilini na unafufua ngozi iliyokufa

jinsi ya kuutumia Ni unachukua udongo wako kiasi, unachanganya na Maji,uwe mzito kama ugali,kisha unaweza kuutumia kwa kusafisha Uso, scrubbing, masking , kujifanyia massage, sun protection etc.. Na pia punde tumegundua Kuwa unaweza ukautumia huo udongo kupigia mswaki fresh kabisa

Unafanyaje kazi?

Udongo huu wa asili pindi ukichanganyika na maji, unazalisha mkondo mdogo wa umeme( micro electric current) ambao unamfanya bakteria washindwe kuishi tena kwenye eneo unalopaka mara kwa mara.

Kumbuka: Udongo huu haubadili rangi ya ngozi

Kwa ushauri au tiba juu ya tatizo la ngozi, tuwasiliane kwa mawasiliano yafuatayo

Mussa Zaganza,
Mtaalamu wa Afya ya Ngozi.
0713-039 875
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2017-11-17 at 17.40.02.jpeg
    File size
    45 KB
    Views
    92

Mbushuna

New Member
Nov 16, 2017
3
20

Mi Nina tatizo la ngozi, ambapo ngozi inakuwa na mabaka meupe, vipi ninaweza kupata tiba yake?
huu udongo ni tofauti na bentonite clay?
 
sonnita

JF-Expert Member
Feb 11, 2014
1,540
2,000
Mi Nina tatizo la ngozi, ambapo ngozi inakuwa na mabaka meupe, vipi ninaweza kupata tiba yake?
wanaweza kua mba hao,nenda hospital uwe na uhakika kwanza au pharmacy. pia inajulikana kama utango tango.
Kama ndo yenyewe paka mafuta ya breki Kama hutomind
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom