Wakuu yule mwana ni mbishi hataree Leo ananiambia polis wa dar Wana Hela wanapata pesa za lindo bank ukilinganisha na polis wa mikoani hakuna bank nyingi GD wao ni kituon tu hem wakuu nipen updates kuhusian na hili hiv polis wa dar kwel Wana hela
Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
Duhh kumbee bas mm aliniambia anafany mzunguuko ktk bank zote mbagala Kam akiba, nmb , crdb , commercial bank etc kwa hio mwez wot hua yupo lindo
Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
Upo sahihi chief na yy anaingia masaa 12 nashangaa wadau wanasem huwez kupangiwa malindo mwezi mzima
Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
Ndio chief upo sahihi sasa yeye anasem yupo lindo mwezi mzima anazunguuk mabenk mengi tu ila kuna wana humu wamesem huwez kupangiwa lindo la bank mwez mzm
Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
Mkuu mm Sina lengo la kwenda polisi but nimeuliza tu kutokan anavonisifia huyo jamaa ni polisi wa general duty ila ananiambi stahiki zake zote Kwa mwez anazpata ni milion Moja kuna posho ya chakula kuna mshahar halaf kuna na posho ya bank ambayo ni lak 3 Kwa mwez Kila sku yy yupo bank ila kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.