Recent content by Mbunge Wa Kitaa

  1. M

    Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

    Mimi nikiwaza Askari Watatu na Mlinzi mmoja wa SGA wapo Mochwali inauma sana. Sasa sijajua, yule askari aliyepigwa pale nje ya Ubalozi wa Ufaransa, akijaribu kumuua huyo Mhalifu kwenye Kibanda sijui kapona? Maaana alipigwa Risasi na Hilo lijamaa.
  2. M

    Uhusiano uliopo kati ya kesi ya Ugaidi dhidi ya Mbowe na tukio la jambazi

    Ni gaidi huyu tusimumunye maneno. Kaua Askari wa tatu na Mlinzi wa SGA mmoja. Serikali imetoa hizo taarifa now. Huyu kama hana akili Timamu asinge waua Polisi watatu vile na kuacha Raia. Alijua nini anakifanya. Vyombo vya Usalama Vifanye Uchunguzi sana. Yasije tukuta makubwa zaidi ya haya.
  3. M

    CHADEMA: Salamu za rambirambi kwa IGP

    Hata kama ni Siasa, Mkuu hapa Umezidi. Mimi ni Mwana CCM, lakini siamini Chadema wana nia hii. Tuache cheap politics na kuwaonea Wapinzani wetu kisiasa kwa kutumia Dola. Tujikite katika Ajenda za Maendeleo, wananchi watatuchagua. After all, hata Kodi tunalipa wote, CCM na wasio wana CCM. Wote...
  4. M

    Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

    KAUA Wanne Jumla. Sio Amateur huyo. Watu wengi hawajajua kuwa Askari wamefariki watatu na Mlinzi wa SGA mmoaj.
  5. M

    Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

    Kapigwa na Askari waliokuwa Nyuma ya Daladala. Wali ji cover pale. Wakati kageukia upande mwingine askari wa Nyuma yake wakammaliza. Imeniuma kuona Kaua Askari Watatu na Mlinzi wa SGA mmoja. Yule ana Mafunzo, kwa wale mlio angalia Video zote. Kitendo cha Kujificha kwenye Kipanda Cha Polisi...
  6. M

    Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

    Huyu ni Gaidi kwa Mtazamo wangu, alienda Mafunzo ya Dini Misri, kwa Mujibu wa Audio zinazotembea Mitandaoni. Lakini mimi kujificha kwenye Kile Kibanda na Kulenga. Namuona ni Gaidi. Alitoka Baada ya kurushiwa Mabomu ya Majozi pale kama si Gas. Akaamua kutoka. Kwa Mujibu ya Tweet ya Ikulu kaua...
  7. M

    Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

    Wamefika Polisi Watatu na Mlinzi wa SGA 1 jumla wamefariki watu wanne. Wamedhuliwa na huyo kwa maoni yaangu ni Gaidi kwasababu ya Vitendo vyake. Four people have perished.
  8. M

    Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

    Mkuu nilipumzika kuandika andika JF, lakini umezungumza Point. Nina Imani Vyombo vyetu vitafanya hivyo. Tusilichukulie Poa hata kidogo. Huyo Msomari kaua Askari wawili. Na Mungu tu kawalinda hao wananchi hapo kwenye madala dala. Maana leo ingekuwa kizaa zaa kwa Watanzania.
  9. M

    Magufulists wamebaki kutapatapa, hatutawasikia tena ifikapo mwezi Julai

    Magufulist wapo wengi sana nchi hii including me. Wanaodhani July Mwisho watasubiri sana. Magufuli ana ishi ndani ya mioyo ya watu.
  10. M

    Chalamila omba wasaa ukutane na Mheshimiwa Rais uombe umueleze upande wako wa stori

    si alisema anasikia mtandaoni ha ha ha na la Chalamila kasikia
  11. M

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    mtoto wa darasa la pili huyu hapa haha ha ha! Yaani wewe unamuona Magufuli tu wakati ku promote watu kunafanywa na watendaji wa eneo husika. Hii ni Kansa ya Nchi nzima ya miaka na miaka. Nakumbuka miaka ya 2007 watu walikuwa wakitaka U DAS tu ukiwa na hela unaupata kiufi unanunua au connection...
  12. M

    Kwanini Rais Samia amesema hataki mabango, Je hii ndiyo demokrasia?

    Mkuu nakubaliana na wewe 100% na hayati Magufuli alishawahi sema. Issue yangu ni kwamba je Tuwazuie wanchi wasibebe Mabango au tuwaache ili ikitokea mkuu wa Nchi kapita hapo apate ujumbe wake na ajue nini kero au matatizo ya eneo husika au pia apokee mabango yanayomsifu na kumtia Moyo? Mimi...
  13. M

    Kwanini Rais Samia amesema hataki mabango, Je hii ndiyo demokrasia?

    Wewe kama kiongozi utapata feedback wapi kama watendaji watendaji hawafanyi vyema? Mimi ofisini kwangu nikifanya kazi lazima mteja atoe feedback na ana wa copy wakubwa wote. Kiukweli imesaidia kuinua utendaji
  14. M

    Kwanini Rais Samia amesema hataki mabango, Je hii ndiyo demokrasia?

    Hivi unaijua Tanzania hii? MA DC, Wakurugenzi na viongozi wengi ni Miungu watu, hawatatui mambo ya watu. Mnamkumbuka Yule DC kule Sumbawanga alishindwa maliza tu mgogoro wa mtu kuibiwa Ng'ombe. Mabango ni sehemu ya Wananchi kufikisha ujumbe kwa Mkuu wa Nchi. Mimi maombi yangu kwa Viongozi...
  15. M

    Yusuf Manji mikononi mwa TAKUKURU baada ya kurejea nchini

    Usijali Mkuu. Tanzania Kwanza Mengine Baadaye.
Back
Top Bottom