Recent content by Mbunge Afrika Mashariki

  1. Mbunge Afrika Mashariki

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki, Mashaka Ngole atoa msaada Jimbo la wilaya ya wete PEMBA

    Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki kupitia chama Cha CUF, mhe.Mashaka Ngole ametoa msaada wa waya za umeme 2.5 bandle 2 jumla ya thamani 360000, sambamba na hilo mhe.mbunge ameahidi kuvuta na kuunganisha umeme katika shule ya sekondari Makongeni jimbo la MTAMBWE wilaya ya WETE PEMBA, Pia...
  2. Mbunge Afrika Mashariki

    JamiiForums Tanzania CUF-Chama Cha Wananchi, Taarifa kwa umma kuhusu mkutano wa hadhara kesho Magomeni Kanisani

    THE CIVIC UNITED FRONT (CUF-Chama Cha Wananchi) TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MKUTANO WA HADHARA KESHO MAGOMENI KANISANI: Mwenyekiti wa CUF-Chama Cha Wananchi Prof. Ibrahim Lipumba kesho Jumamosi Februari 11, 2023 anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi kwenye Mkutano Mkubwa wa Hadhara ulioandaliwa na Wilaya...
  3. Mbunge Afrika Mashariki

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba kuunguruma February 11, viwanja vya Magomeni Morocco (stendi ya mwendokasi)

    PROF.LIPUMBA Kuunguruma February 11, viwanja vya Magomeni Morocco(stendi ya mwendokasi) CUF- Chama cha wananchi wilaya ya Kinondini Mkutano mkuu wa hadhara Viongozi wakuu wa chama watakuwepo wakiongozwa na bingwa wa uchumi dunia Prof. Lipumba. Usipange kukosa njoo tuisimamishe Kinondoni...
  4. Mbunge Afrika Mashariki

    JamiiForums Tanzania Mkutano mkubwa wa hadhara Mwenyekiti wa Wilaya ya Kinondoni CUF, Rajabu Salim Juma kuunguruma siku ya Jumamosi

    MKUTANO MKUBWA WA HADHARA MWENYEKITI WA WILAYA YA KINONDONI CUF, MHE.RAJABU SALIM JUMA KUUNGURUMA SIKU YA JUMAMOSI. MAHALI: MAGOMENI MOROCCO KITUO CHA MWENDOKASI USIPANGE KUKOSA NJOO TUISIMAMISHE KINONDONI, NJOO TUIJAZE MAGOMENI. #ChamaMakini #ViongoziMakini
  5. Mbunge Afrika Mashariki

    JamiiForums Tanzania Chama cha CUF wananchi wilaya ya Kinondoni kufanya mkutano mkubwa wa hadhara Magomeni Februari 2, 2023

    CuF- chama cha wananchi wilaya ya kinondini Mkutano mkuu wa hadhara Viongozi wakuu wa chama watakuwepo wakiongozwa na bingwa wa uchumi dunia prof.Lipumba. Usipange kukosa njoo tuisimamishe kinondoni, njoo tuijaze magomeni. #ChamaMakini #ViongoziMakini
  6. Mbunge Afrika Mashariki

    JamiiForums Tanzania Mashaka Ngole akabidhi bettri ya gari aina ya N 70 kwa Jumuiya ya Wazee

    Breaking News!!! Mhe.Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki Kupitia Chama Cha CUF, Mhe.Mashaka Ngole amekabidhi bettri ya gari aina ya N 70 kwa jumuiya ya wazee waliyoiomba kwa ajili ya matumizi ya gari ya ofisi. Pichani kulia ni mhe.Kapasha Kapasha ambaye ni mshauri wa Mambo ya siasa katika...
Back
Top Bottom