Mbunge wa ileje mkoa wa mbeya ( Ccm) ametuchosha wananchi wa jimbo na wilaya ya ileje.
Hukuchaguliwa kugawa nguo,kugawa sahani misibani, kugawa pesa makanisani nk..Ulichguliwa kupigania Ileje ipate maji,barabara ya lami,Madawa hospitalini,vitabu mashuleni,masoko ya mazao nk
Kugawa sahani...