Recent content by mbuma

  1. M

    JamiiForums Tofauti kati ya biashara yenye registered business name na kampuni

    Kwa wenye uelewa na suala hili,naomba kujua tofauti kati ya biashara yenye registered business name na kampuni. Je unaweza kuwa na biashara yenye business name na baadae kuibadilisha na kuwa kampuni?Je biashara yenye business name unaweza kupata mkopo benki kupitia hiyo biashara?Kwa atakaye kuwa...
Back
Top Bottom