Kwa wenye uelewa na suala hili,naomba kujua tofauti kati ya biashara yenye registered business name na kampuni. Je unaweza kuwa na biashara yenye business name na baadae kuibadilisha na kuwa kampuni?Je biashara yenye business name unaweza kupata mkopo benki kupitia hiyo biashara?Kwa atakaye kuwa amenielewa vizuri naomba kufafanuliwa please.