Mahesabu ya mfanyakazi na wa/biashara mbona tofauti ni kubwa sana! m/biashara lets say kwa mwaka analipa maxmum laki moja, halafu wewe unakatwa 150,000/= kila mwezi. jumla kwa mwaka 180,000,00/= uko wapi usawa hapo jamani?
Kusema kweli hata mi inaniuma sana, hapa hakuna usawa! kwa nini pia wafanyabiashara wanalipa kila mwaka badala ya kila mwezi ka wanavyofanya watumishi wengine waumma ambao hukatwa kila mwezi? there must be equal right and justice!
Hivi utaratibu wa kupiga kura kuwachagua viongozi unaowataka mpaka urudi ulikojiandikishia? kwa nn kusiwe na mfumo wa kupigia kura sehemu uliyopo ilimradi tu umejiandikisha kama nchi za wenzetu! naomba maoni yenu wana JF maana mimi kupiga kura ni ngumu kulingana na hiyo sheria, tukiendelea hvo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.