Achana na hizo m+. Huku njaa tupu, wanafunzi 500+, usije ukajuta kwa nini uliacha hizo laki 9. Hakuna marupurupu, dili za kufundisha vyuo vingine tabu kupata tayari zina wenyewe, maisha dom yapo juu, nyama kg 5000, samaki wabich kg 6000. Sokoni ukiingia na laki unarudi na kapu lipo nusu. Nyumba...