Kwa upande wa JKT inaweza kuwa Bora zaidi kusimamia mradi huo sababu Vijana wote wanaokwenda kwenye mafunzo hayo mbali na ulinzi pia nia ni kupata ujuzi wa fani mbalmbali ili kujitegemea, hivyo basi kwa wenye kuwa na ujuzi wa fani kama Udereva, Ufundi makenika, mafundi Rangi za magari...
Suala la kiingereza "fluent" ni jingine na suala la uraia ni jingine, hawa wahindi raia wa Tanzania kiswahili chao kinafanana na maeneo wanapoishi au kuzaliwa?
Tatizo hilo ni la karibu nchi nzima, binafsi nazishauri mamlaka ziyatambue majukumu yao, na ingependeza kama tutatenganisha taaluma na siasa, Kuna vitengo kama bibi na bwana Afya, ni kwamba mimea ya kijani huchukuwa hewa chafu na kutoa hewa safi, hivyo basi kwa bidhaa kama mbogamboga ambazo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.