Recent content by mbugi2013

  1. M

    majina kwa HESLB

    tafadhar naomba niangalizie jna langu cm yangu haifungui pdf,jina ni AKIDA HAMIS MBUGI
  2. M

    its hot from heslb,,,.read

    bod ya mikopo wametoa majina ya waombaji waliokosea kujaza form,na wenye dosar mbalmbal warekebishe kuanzia kesho mwisho tar 6 november.tafadhar cm yangu haifungui file la pdf naomba mnitazamie jina langu kama lipo kat hayo majin,jina ni MBUGI AKIDA HAMIS
  3. M

    Swali

    naomba kujuzwa,nimeoa na mke wangu ni mjamzito miez 7,je kuna athar yoyote atakayoipata mtoto pind ntakapofanya mapenz na mke wangu??je mimba ikifka umri gan tunatakiwa tusitishe tendodo la ndoa kwa afya ya mtoto!!!?na pind atakapojifungua ni muda gan tunatakiwa tusubir
  4. M

    ndo nimekosa mkopo au?

    hv wale wa nacte nao wametoa majina yao au ni wa six pekee then wa nacte watafuata?
  5. M

    Bachelor of education in special needs.=msaada tafadhalini

    mi pia first year udom nimechagulia BED policy,planning and management
  6. M

    Makengeza kwa mtoto!

    nenda CCBRT macho msasani tatzo linaisha,by the way watoto chn ya miaka 5 matibabu bure.
  7. M

    Good news!!!! NGUVU ZA KIUME SIYO TATIZO TENA

    doz n baada ya mda gan?athar yake n nn?maana naskia ukianza ku2mia madawa kama hayo ukithbutu kuacha ndo umeharibu kabisa
  8. M

    Join instructions za udom jamani!

    huko kote hakuna,na si kulalamika ila ahadi zao si za kwel,walisema mwanzo wa mwez huu lakn mpaka leo kmya
  9. M

    mama mjamzto

    mama mjamzito miez 5 akijiskia maumivu chn ya kitovu mara kwa mara,tatzo nn.
  10. M

    UHUNI WA NACTE :YAWATEMA CLINICAL OFFICER Wote 153

    kama hujui wale wanaomba chuo kwa kutumia chet cha diploma lazima waombe kupitia nacte na sio necta kama ulivyoandika wewe,jua nacte na necta ni vitu viwili tofaut
  11. M

    kwanini udom jaman

    sielewi udom tatizo ni nin mpaka wanachelewa kutoa admission letter sababu waajir hawatoi ruhusa mpaka waone admission letter na mda ndo unasonga,
  12. M

    msaada wana jf kuhusu gharama za chuo

    sina shaka wewe bado fresh from school limbuken na maswala ya vyuo ndomaana unakejeli baadh ya vyuo,hujui maisha na hujui kuwa utakapomaliza hapo mkwawa unaweza ukawa chni ya aliemaliza ktk vyuo unavyovibeza au ukasota mtaan na waliomalza ktk vyuo vya kata kama unavyoviita wakawa wanapokea cv...
  13. M

    msaada wana jf kuhusu gharama za chuo

    kwa sie wenye bima ya afya inakuaje ile pesa ya matibabu tunalipa.
Back
Top Bottom