Good news!!!! NGUVU ZA KIUME SIYO TATIZO TENA

health

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
325
38
Hello Mwanajamii!
Ni matumaini yangu kuwa unaendelea vema katika kazi zako za kila siku. Katika utendaji bora wa kazi unafuatana na utendaji bora wa ubongo pia. Ubongo wa mwanadamu hufikiri vema na kufanya maamuzi mazuri na kufanikisha kazi zetu za kila siku. Nazungumzia hivyo sababu wapo watu wengi hushindwa kufanya kazi vema kwa sababu wamejenga mawazo magumu sana katika ubongo na hata kusababisha matatizo ya kisaikolojia. Mtu apatapo tatizo mfano la kiafya haitakiwi kuona kuwa lile ni tatizo kubwa la kushindwa kufanya mambo ya kimaendeleo bali aone tu ni sehemu ndogo sana ya maisha yake na haiwezi kumuathiri tena kisaikolojia na baadaye anaweza kutatua tatizo kirahisi.
Wapo watu wengi sana wamekuwa wakiwa na stress kuhusu kukosa nguvu nzuri za kiume na hadi wengine kuona tena hawana lolote katika jamii. Napenda kuwashauri waondoe mawazo mabovu na wajione kuwa wapo vizuri sana na wanaweza kuendelea kuishi vema katika maisha. Napenda kuwapatia maelezo muhimu sana ya namna ya kuweza kuondokana na tatizo kama hilo kwa kutumia lishe muhimu nzuri na huwa ni adimu sana ambayo imeandaliwa kiasilia na kuhifadhiwa kwa mfumo mzuri usioweza kuruhusu kuharibika. Lishe hii imethibitishwa na mamlaka ya chakula na dawa kwa hapa Tanzania na haina madhara yoyote kwa afya. Napenda uendelee kujisomea maelezo yake na baadaye ukiwa na swali utaweza kuuliza.

MAGILIM

Inatokana na majina ya Magic-Slim, jina hili likabadilishwa na kuitwa Magilim.
Imetengenezwa kwa mimea kadhaa, mimea hiyo ni;

 • Seamen cassie
 • Cassia bark
 • Mullberry leaver
 • Fago fyrum tataricum
Ikiingia katika utumbo mdogo huyeyuka kuwa ute ute na gel husaidia kugandisha mafuta uliyokula ili yasitumike mwilini, na kufanya mwili kutumia mafuta yaliyoko wilini tu, hivyo kusaidia kupunguza mwili na uzito.
Ikiingia kwenye utumbo mkubwa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na chumvi chumvi zake.
Ini huwa inavunjavunja mafuta na kutengeneza;

 • Maji ya nyongo
 • Nguvu ya mwili(glucose)
 • Uric acid
Magilim ukiinywa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na mafuta, pia husaidia kwenda kwenye damu kutoa sukari na uchafu kupitia kwenye figo.
Matokeo yake mwili hukosa nguvu kwa kutoa sukari na mafuta, kugandishwa pamoja na maji ya nyongo kwenye utumbo mkubwa na mdogo.
Kufanya mwili kulazimika kutafuta nguvu kwenye hifadhi zake, sehemu zenye mafuta mfano kitambi, ------ na mikononi wanawake. Wanaopunguza unene na uzito hivyo mwili unatengeneza kemikali inayosaidia kutoa mafuta kwenye mwili na yanasafirishwa na damu kupelekwa kwenye ini pale ambapo ini huvunjavunja yale mafuta na kutengeneza vitu vitatu; maji ya nyongo, nguvu ya mwili ana uric acid. Wakati huo maji maji ya nyongo yanazidi kugandishwa na mafuta kwenye utumbo mkubwa na mdogo.

 1. Uric acid na sukari inatoka kupitia figo kwenye mkojo na kufanya mwili unazidi kutoa mafuta kwenye hifadhi zake mwilini na kufanya mtu azidi kupungua(kukonda).
Magilim inasaidia kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu na kuzuia mwili kunyonya vyakula vya wanga kwenye utumbo mdogo na kutoa sukari kwenye damu kupitia figo, huleta faida kwa wagonjwa wa kisukari na wale wanaotaka kujizuia kupata matatizo ya sukari.
Magilim ikiwa kwenye ute ute(gel) kwenye utumbo inasaidia kusafisha utumbo mkubwa na mdogo na kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula.

KAZI YA MAGILIM


 • Kupunguza uzito na unene
 • Kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu
 • Kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula
 • Inapunguza uwezo wa mwili kunyonya lishe
 • Kutoa sumu mwilini
 • Kutoa chunusi mwilini
 • Kutibu matatizo ya tumbo


REVIVE

Bidhaa hii imetengenezwa na mimea aina mbili ambayo ni Epim-edium na Gin-sen. Bidhaa hii inawasaidia sana wanaume kuamsha hisia za mapenzi na kudumisha msisimko.

KAZI YA REVIVE

 • Kuongeza libido(ashiki au nyege)
 • Kutibu impotence(mahanisi)
 • Kuongeza muda wa uhai wa mbegu za kiume zinapotoka nje, zinatakiwa ziishi katiak joto 37’’C.
 • Kuweka mwili katika hali ya hisia ya kawaida
 • Kutibu maumivu ya kiuno
 • Kuchelewa kumwaga mapema(kufika kileleni)
 • Kutibu kutanuka kwa kibofu cha mkojo na kuzuia uwezekano wa kupata saratani ya kibofu cha mkojo.
 • Inaimarisha usafirishaji wa damu mwilini
 • Pia inasaidia kwa wenye pressure ya kushuka
 • Kuboresha utendaji wa tendo la ndoa


CA + FE + ZI PLUS


 • CA – Madini ya Chokaa
 • FE – Madini ya Chuma
 • ZI – Madini ya Zinki

FAIDA ZA MADINI YA CHOKAA

 • 5% ni uzito wa mwili wa binadamu na ni 2% ya uzito wa binadamu ni madini ya chokaa.
 • Madini ya chokaa yanaimarisha mfumo wa kinga mwilini
 • Madini haya yanasaidia utendaji wa kazi mwilini
 • Madini ckokaa yanaimarisha mishipa ya hisia na ubongo
 • Madini chokaa yanasaidia kugandisha damu mtu anapopata majeraha

FAIDA ZA MADINI CHUMA


 • Hutumika kutengeneza damu hasa Red blood cells ambazo husafirisha oxygen
 • Huimarisha mfumo wa mishipa ya hisia mwilini
 • Huongeza uwezo wa kufikiria na nguvu ya ubongo kwa binadamu
 • Huongeza nguvu mwilini

FAIDA ZA MADINI YA ZINKI

 • Inaimarisha mfumo wa uzazi kwa wanaume
 • Inaimarisha milango ya fahamu
 • Kutibu vidonda vya ndani na nje wa binadamu
 • Inatunza ngozi na kulinda ngozi na nywele
 • Inaondoa matatizo ya macho.


Kwa swali lolote au ushauri waweza kuuliza kwa kunipigia 0776491294/0713889162 au kuniandikia kupitia email ishealthy@hotmail.com

MAGILIM ni 62500/-, REVIVE ni 60500/- na CA+FE+ZI Plus ni 51000/-
 

Attachments

 • MAGILIM.jpg
  MAGILIM.jpg
  15.2 KB · Views: 863
 • REVIVE.jpg
  REVIVE.jpg
  13.9 KB · Views: 888
 • CA+FE+ZI Plus.jpg
  CA+FE+ZI Plus.jpg
  16.2 KB · Views: 804
Siyo sehemu ya biashara mahalihapa...

acha ujinga wewe..mnasaidiwa mnalete kelele...ndo mana mnagongewa wake zenu bz kitandana sifuri kazi kupiga vidole tu..baada ya kushukuru tatizo lako litaondolewa unaleta kelele..ungekuwa wa maana sana kama ungejaribu kuuliza ili upate uelewa zaidia..usilete ucdm hadi kwenye vitu vya maana
 
Mtu akiwa anatakiwa kuuliza anaweza pia kuulizia hapa hapa lakini liwe ni swali lenye umuhimu ili katika kujibu watu wanazidi kupata uelewa wa huduma yenyewe. Nashukuru kwa walioniandikia ujumbe wa barua pepe lakini hata kama una tatizo ukiuliza hapa hakuna shida sababu hakuna anayeweza kukufahamu wewe ni nani na itasaidia wengine pia. Shukrani mwanajamii KIBE kwa kuwa na mtazamo chanya kwa jamii
 
Mtu akiwa anatakiwa kuuliza anaweza pia kuulizia hapa hapa lakini liwe ni swali lenye umuhimu ili katika kujibu watu wanazidi kupata uelewa wa huduma yenyewe. Nashukuru kwa walioniandikia ujumbe wa barua pepe lakini hata kama una tatizo ukiuliza hapa hakuna shida sababu hakuna anayeweza kukufahamu wewe ni nani na itasaidia wengine pia. Shukrani mwanajamii KIBE kwa kuwa na mtazamo chanya kwa jamii

Mkuu ni aina gani ya vyakula au matunda madini haya yanapatikana kwa wingi.
 
Mkuu ni aina gani ya vyakula au matunda madini haya yanapatikana kwa wingi.

Baadhi ya vyakula ambavyo hayo madini hupatikana kwa wingi ni kama ifuatavyo:-

Madini ya chokaa(CA) - maziwa,mboga za majani mfano kabichi,uyoga,kunde,machungwa,samaki,siagi
Madini ya Chuma(FE)- nyama nyekundu, mayai,soya,mbegu za alizeti,spinach
Madini ya Zinki(ZI)- maini,mbegu za maboga,mbegu za tikiti maji,karanga,
 
Ni muhimu sana kwa wale wenye kuhitaji na kuulizia kuhusu ushuhuda kuweza kupata shuhuda za wengine pia. Unaweza kufuatilia link hii Testimony-REVIVE
 
Mtu akiwa anatakiwa kuuliza anaweza pia kuulizia hapa hapa lakini liwe ni swali lenye umuhimu ili katika kujibu watu wanazidi kupata uelewa wa huduma yenyewe. Nashukuru kwa walioniandikia ujumbe wa barua pepe lakini hata kama una tatizo ukiuliza hapa hakuna shida sababu hakuna anayeweza kukufahamu wewe ni nani na itasaidia wengine pia. Shukrani mwanajamii KIBE kwa kuwa na mtazamo chanya kwa jamii

Dawa zako huanza kufanya kazi na kumwezesha mwenye matatizo kurudia hali ya kawaida baada ya muda gani i.e. siku ngapi?
 
Hizo dawa ni imported? Kama jibu ni ndio, zinatoka nchi gani?

Vip kuhusu TFDA, wame zithibitisha na nini kinaonesha kama kweli zime thibitishwa na kuto kuwa na madhara kwa mtumiaji yanayo weza tokea baada ya muda mfupi au baada ya muda mrefu?
 
Zinapatikana DAR - ES - SALAAM na walio mikoani pia huweza kusaidiwa kwa njia moja au nyingine kwa namna inavyowezekana inatakiwa kufanya mawasiliano.

Unatakiwa utumie kiasi gani ili kumaliza dozi, atahri yake inaonekana baada ya mda gani na ukishamaliza dozi ndo mwisho wa tatizo au ni endelevu.
 
doz n baada ya mda gan?athar yake n nn?maana naskia ukianza ku2mia madawa kama hayo ukithbutu kuacha ndo umeharibu kabisa
 
Unatakiwa utumie kiasi gani ili kumaliza dozi, atahri yake inaonekana baada ya mda gani na ukishamaliza dozi ndo mwisho wa tatizo au ni endelevu.

Ili kuweza kumaliza dose inatakiwa mtu kutumia kwa muda wa miezi 3 na matumizi yake siyo ya kila siku. Matokeo yake hutofautiana kutegemeana na afya ya anayetumia. Wapo ambao huanza kuona mabadiliko ndani ya muda mfupi sana mfano baada ya siku tatu na hali kuendelea kuimarika hadi inapofikia anapomaliza dose anakuwa ameshasahau kuhusu hali yake ya mwanzo
 
doz n baada ya mda gan?athar yake n nn?maana naskia ukianza ku2mia madawa kama hayo ukithbutu kuacha ndo umeharibu kabisa

Ili kuweza kumaliza dose inatakiwa mtu kutumia kwa muda wa miezi 3 na matumizi yake siyo ya kila siku. Matokeo yake hutofautiana kutegemeana na afya ya anayetumia. Wapo ambao huanza kuona mabadiliko ndani ya muda mfupi sana mfano baada ya siku tatu na hali kuendelea kuimarika hadi inapofikia anapomaliza dose anakuwa ameshasahau kuhusu hali yake ya mwanzo. Hizo ulizosikia kuwa ukitumia huwezi tena kuacha kutumia ni hatari sana na sidhani kama ni lishe.
 
Jee zimekuwa prove na wizara husika?au unataka kufanya biashara na kutumaliza kabisa huzo nguvu zetu zilizobakia kidogo
 
Jee zimekuwa prove na wizara husika?au unataka kufanya biashara na kutumaliza kabisa huzo nguvu zetu zilizobakia kidogo

Hiyo ni lishe iliyothibitishwa kutumika duniani kote na pia hapa nchini imethibitishwa na mamlaka ya chakula na dawa(TFDA).
 
Back
Top Bottom