Recent content by Mbua nkhotya

  1. M

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Serikali yataja sifa za walimu wa sekondari watakaorudishwa kufundisha shule za msingi

    Sijui unajielewa unachokisema?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli sisi wananchi wa Singida Mashariki tunahitaji mbunge

    Kwanza kwa mamlaka ya nani unaongea?eti sisi mwanasingida mashariki hebu onesha ushahidi unaoonesha hayo ndio wanyaturu wamekutuma useme hivo?kwanza unacheo gani hapo singida masharik?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli sisi wananchi wa Singida Mashariki tunahitaji mbunge

    Singida mashariki ipi unaizungumza?,bila shaka huenda una matatizo yako binafsi na bila shaka akili zako ni za kuazima. Pole sana.kwanza wewe utakuwa si mwanasingida na kama ni mwanasingida hujitambui.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Swali ambalo kila mtu mwenye akili timamu anapaswa kujiuliza kuhusu Lissu na kupona kwake

    Mpumbavu na moja tukiambiwa tupige kura nakupigia wewe kuwa mpumbavu namba moja
  5. M

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mhe Tundu Lissu akiwa hospitalini Nairobi, Kenya anakoendelea kupata matibabu

    Mungu ni mwema.Leo mashetani na misukule wanatafuta mahali pa kujificha .Bibilia inatuonesha wazi kuwa shetani hajawahi fanikiwa kuvunja mpango wa Mungu.Herode alipoangamiza watoto chini ya miaka 5 alidhani amemua Yesu hata wayahudi waliopomuua walidhani wameshinda lakn siku ya tatu alitoka...
  6. M

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mhe Tundu Lissu akiwa hospitalini Nairobi, Kenya anakoendelea kupata matibabu

    Hata ssda Bwana Mungu ametenda walaaniwe na vizazi vyao wote walomfanyia unyama ndg yangu Lissu.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Majimbo ya kukombolewa 2020

    walokutuma kuwa wamekosea njia.wanasingida mashariki tunajitambua .ikitaka kutuelewa vzr nenda sasa HV ueleze huu ujinga wako singida mashariki uone kitakachotokea.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe acha kuzuia wazee wa Iramba na BAVICHA kumtembelea Lissu

    Aliyekuambia Lissu anatoka Iramba nani?,kaa kimya.kukaa kimlya sio ujinga
  9. M

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Mjadala wa Tundu Lissu kupigwa risasi ufungwe mara moja

    Haya nayo ya mwaka.hii mamlaka kaitoa wapi ya kuzuia watanzania kujadili suala la Lissu? Lengo lake nini? Je! Hili jambo wanaliona kama jambo dogo sana?hana hio mamlaka.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba na Elibariki Kingu, hata undugu kwenu kwa Lissu umekufa?

    Hawa jamaa watakuwa vibaraka,nadhani ndio wapiga meza wakuu pale mjengoni wakiunga mkono hoja hata kama ya kipuuzi.anaekujali wakati wa shida ndio nduguyo hvo hawa jamaa wanatakiwa wapingwe na kila mwanasingida Mwenye akili timamu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Jumla ya sh 204M za matibabu ya Lissu zimechangwa, aomba michango zaidi, aishutumu Serikali kuhusika na shambulio

    H Akuna mpumbavu kama wewe.umelogwa nadhani kizazi chenu wote wachawi au waganga wa kienyeji
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nimekerwa na uamuzi wa Acacia kupuuza ushauri wa Tundu Lissu na CHADEMA

    Ndio umelishwa upupu utuletee unadhani watanzania wajinga kama wewe?
Back
Top Bottom