Recent content by mboyapatrick

  1. M

    JamiiForums Tanzania Siasa za kujaza matumbo zinawasumbua CHADEMA mnawaza kurudi Bungeni maana mlishageuza ajira

    Mpumbavu anapoonesha ubora wa upumbavu wake ni hatari kwa hivi inaishia nchi gani he 2022 kulikuwepo na uchaguzi au uchaguzi?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mbowe hakwenda kumpokea Tundu Lissu?

    Ni sahihi mwenyekiti wa CCM kwenda kumpokea makamu mwenyeki Abdulrahiman Kinana kiitifaki imekaaje?hebu tuanzie hapo.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Zitto, Lissu na Lema, Waliyotabiri hakuna hata moja lililotimia

    Hivi hizi unavuta ukiwa usingizini au macho unajiona umetupia bonge la thread
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa uelekeo huu, Dr. Wilbroad Slaa anaweza kurejea CHADEMA

    Sawa lakini atubu Kwanza maana aliwahi kusema chadema waliingiza kinyesi sebuleni
  5. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO DAWASA Temeke idara ya huduma kwa wateja mbovu sana

    Kwenye kitengo cha huduma kwa wateja bomu Nina mita haifanyi Kazi tangu 05/2022 nimewapigia mpaka nimechoka wanakula mtu anakupigia unaendelea kuwasiliana naye mwisho hapokei Simu Tena inaonekana ni dili anahitaji umwahidi rushwa
  6. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO DAWASA Temeke idara ya huduma kwa wateja mbovu sana

    Mbona ni kote hata hii dawasco Tabata kituo Cha huduma kwa wateja ni bomu,nimepiga Simu zaidi ya Mara 20 tangu mwezi 5/2022 mita haisomi,wanawapa matapeli namba yangu ya simu then wanapiga Simu tutakuja kukubadilishia,ukiendelea kuwakumbushia kwenye namba iliyokupigia mwisho hawapokei,maana yake...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anaiua CHADEMA polepole

    Jomba unavuta bangi Amina gani
  8. M

    JamiiForums Tanzania Uraibu wa kamari za Kichina, mabonanza na pombe kali unazidi kumaliza watumishi wa umma. CCM ipo kimya

    CCM watafanya Nini wakati miradi ya kamari ni ya kwao ni wachezaji kujiongeza na kujinasua katika balaa hili
  9. M

    JamiiForums Tanzania Huyu mstaafu tumrudishe Ikulu 2030. Mnasemaje bhandugu?

    Swala siyo uvunjivu wa katiba je ni kweli hakuna mtanzani mwingine Mwenye akili na umri unaomruhusu unang'ang'ania vibabu?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Force Account inawamaliza mabosi wa Serikali, Waziri Mkuu anashuhudia madudu ya kutisha

    Takukuru hawana meno nao wamepewa ulaji mbona ni wapokea rushwa wazuri Sana.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Daktari Musukuma: CHAWA ni mdudu mchafu anayejificha kwenye nguo za ndani!

    dr.fakeni bonge la chawa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Je, CCM bila Mkapa itatoboa?

    Inatokoka
  13. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru alistahili viboko na si kuwa Mbunge

    Huyu mzee Bora angejinyazia ingemsaidia lakini kwa kuwa nyuma ya key board Kuna issue na kina sukuma gang lazima tutamsikia Sana jukwani
Back
Top Bottom