Recent content by mbopee

  1. M

    Dr. Hassy Kitine kutangaza nia ya urais Dodoma

    Akawe raisi huko huko kama alikuwa waziri tu akaenda kumtibu mkewe chunusi ulaya je akiwa raisi si ndio tumekwisha
  2. M

    Baadhi ya Mapungufu ya Kambi ya Lowassa na Urais Jipangeni tena!

    Una uhakika kwamba amekataa Sasa kama.lowasa le.mbululazi na wewe tukwites nani lemudandaz nani hajui kama unatumwa na membe Alafu usimgeluwa mpuzzi.usingemkataa mtoto uliezaa na sintah tu kuone mjanja unaleta hoja za kufikilia kimasaburii hapa na inaelekea wewe na familiaa yako pamoja.na hao...
  3. M

    Nani alihudhuria jeshi kati ya Rais Kikwete na Raisi Sauli wa Finland?

    Rais anapoimbiwa.wimbo wa taifa alafu yeye na ujumbe wake wamekaa vice versa na upande wa bendera ya taifa
  4. M

    Edward Lowassa achukua fomu kugombea Urais mjini Dodoma

    Mheshimiwa rais mtarajiwa katika ubora wakee mungu akutangulie na karibu mwanza
  5. M

    William Ngeleja atangaza nia ya Urais kutoka viwanja vya BOT jijini Mwanza

    Nikiwa namsikiliza bwana Ngeleja akitangaza nia. Ila upande wa parking na ndani.Watu wameletwa na mabasi. ======== William Ngeleja anatangaza nia ya kugombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi. Yote yanatokea moja kwa moja kutoka viwanja vya BOT jijini Mwanza. Ngeleja amekuja na kauli mbiu-...
  6. M

    Makamu wa Rais wa JMT, Dr. Gharib Bilal kuchukua fomu ya Urais kesho

    Ahah ndio tatizo la humu subira uwa haipo uwa wanahisi kila kitu rumors au tunabahatisha
  7. M

    Makamu wa Rais wa JMT, Dr. Gharib Bilal kuchukua fomu ya Urais kesho

    Jamani makamu wa rais nae anachukha form ya kugombe urais kesho mpambank unazidi kuwa mkali
  8. M

    Lameck Airo apata mpinzani jimbo la Rorya

    zamlock Takataka huyoo na chama chake cha kigaidii
  9. M

    Lameck Airo apata mpinzani jimbo la Rorya

    Hagombei tenaaaa
  10. M

    Yaliyojiri Ukumbi wa Hyatt Regency: Frederick Sumaye atangaza nia kugombea Urais

    Nimesikiliza hotuba ya Mh. Fredrick Sumaye akiomba ridhaa kwa Wanaccm wampe nafasi agombee urais. Nimesikiliza hoja zake akijinadi na anasema yeye ndio alikuwa kiranja kwenye serikali ya awamu ya tatu. Anasema aliongoza na alikuwa mtendaji mkuu wa serikali kwa kipindi cha miaka 10. Maswali...
  11. M

    Yaliyojiri Ukumbi wa Hyatt Regency: Frederick Sumaye atangaza nia kugombea Urais

    Najiuliza tu kama jamaa anasema yeye ndio alikuwa kilanja ajibu hayaa 1.alikuwa kilanja wa kununua rada ambayo ilichafua serikali ndani na nje 2.alikuwa kilanja wa sera mbovu ya ubinafsishaji iliotuletea na kusababisha mpaka leo viwanda vyetu kufa kubaki kama magofu tu 3.alouza Tbl na Nbc kwa...
  12. M

    GE2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

    Naona mwigulu anachambua serikali ya kikwete sio kutoa hotubaa ya kuomba ridhaa
  13. M

    GE2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

    mwanzoni tu naanza kusikia uvivu kuendelea kukaa hapaa kumsikiliza huyu mtu Kunachoniboa hapa ni hii CV inayotajwa sidhan kama inaweza kumsaidia Maana kutaja kuwa.ulikuwa head prefect wa secondary kuwa mchumi boraa sidhani kama inahusiana na matatizoo tulionayoo Kweli kwenye cv kachemka...
  14. M

    Arusha Stadium kufurika 30/5/2015, Ni mkutano wa hadhara wa Lowassa

    Naona mnawweseka saana kuona lowasa anachukua hisia za watu wenye akili timamu kama sisi nakuwaacha wanafiki na wachumia tumbo kama nyinyi
Back
Top Bottom