ukishaonba nn kinafata::=walaji ni watoto na ndo waagizani ebo!! unataka uwashikishe menu afu iweje au kshike ww iweje uwakataze kula vya bei(nn maana ya matembezi hapo?)
FATA KILICHOKUPELEKA [emoji23][emoji23]
Huyo cha mtoto Dar free market kuna mtu alikutana na za uso
Ni sawa kukamatwa wote. Je, umewahi fikiri ni kina nani wanaolala? Je, ni mateja wala unga, walala hoi au vibaka, au maskini akina kabwela au ni timamu waliotelekezwa makwao au kufukuzwa kwa kukandamizwa haki zao?
SIO KILA CHOKORAA MTAANI NI CHOKORAA KWELI. WENGINE WAMEUMIZWA NA WAZAZI AMA...
dah huwa nawaonea huruma hawa jamaa, pale uhuru shure ya wasichana hutandikwa viboko na maafande wakichelewa kuamka halooo[emoji1787][emoji1787]
Hii kitu ipo hata Kenya Nairobi na Mombasa wale watoto na vijana wala gundi aisee[emoji848]
YOTE TISA, KUMI TULENI JAMANI.
Wakati unakula kumbuka haka kawimbo!!
aidama Yo Yo Yooo... aidama, aidama Yo Yo Yo aidama, aidama tuleni jamani aidama, aidama Yo Yo Yo aidama
MADHARA YAPO KWA KILA KITU
inafikirisha. unasabababu ya kwanini umeuliza mpaka hapo, mahindi pekee na si viazu au mihogo ya kuchoma?
tule jamani zaidi huwa yanashikwa shikwa kupata laini ama gumu kwa wengne(hapa huwa wananiacha hoi, maana kuna wengne wanashka na vimavi mavi vyao tunawastahi tu [emoji848]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.